Search results

  1. B

    CHADEMA chama cha kidalali na wapiga dili asema Dr. Slaa

    Ukweli umeshaeleweka waliobakia ni wa kaskazini tu ndo wanakomaa na chadema
  2. B

    Kwa hili Kikwete ulikosea sana na sijui tukueleweje

    Magari yana umuhimu wake na huduma za afya zina umuhimu wake,bila mhalifu,askari hana kazi,pasipo maradhi mganga hana kazi,tafakari
  3. B

    Humphrey Polepole anapotosha kuhusu mahusiano ya ZEC na NEC

    Watanzania tulio makini lazima tujivunie vijana kama polepole,anatufahamisha mambo muhimu kwa mustakabali wa taifa letu
  4. B

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Wamepinga matokeo wapi?,toa ufafanuzi mwana ukawa watanzania tulio makini tukuelewe
  5. B

    Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Wenje hana chake,atafute kibarua kingine,wenye ofisi wamefika
  6. B

    Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Wenje atafute kibarua kingine,wenye ofisi wamefika
  7. B

    Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Ccm chama kubwa,mnatisha mwanza ,magufuli bado kuapishwa tu
  8. B

    Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya

    Mambo ya mtandao,ukawa wanakurupuka na kutoa kauli zisizo na maana,inatakiwa kwanza kupata source na ukweli wa habari yenyewe,hapo mkapa hakukosea kuita malofa na mbumbumbu
  9. B

    Lowassa atashinda urais, hili halina ubishi! CCM wanaona siasa kama soka!

    Mbowe kaisha shituka kaanza kuhamisha mabilioni yake aliochota kwa lowassa,ukawa kimenuka,ccm#1 hapa kazi tu
  10. B

    Tuliposema kuwa Mbeya sio ngome ya Upinzani nadhani hatukueleweka

    Sugu rais wa maandamano hana chake safari hii
  11. B

    Ni Saa 144 za Kifo cha CHADEMA

    Ukawa kushnei,kuanzia jumatatu wanaanza kukabana mashati,mbowe kauza chama wengine hawajapata mgao
  12. B

    Magufuli: Natambua kuna ambao ni wanaCCM mchana halafu usiku ni wapinzani!

    Magufuli rais awamu ya tano,tinga tinga kiboko ya mafisadi
  13. B

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ajipima ubavu na Wana-Mwanza

    Upendo na amani watanzania,kuna maisha baada ya uchaguzi,ukawa itafutika tanzania itabaki,chuki ya nini?
  14. B

    Heshimu sana watu hawa "wanaongea kidogo wanasikiliza sana"

    Ccm mbele kwa mbele,ukawa wanapigwa hawatoi machozi wanalia kimya kimya
  15. B

    Mnyika aongea na waandishi ngome kuu ya UKAWA, awajibu NEC

    Wakati mbowe na mbatia wanachukua mabunda ya noti kutoka kwa lowassa hotelini,ukawa walikaa mita ngapi?
  16. B

    Mgomo mkubwa wanukia nchini

    Watumishi waadilifu wako pamoja na serikali yao,ukawa na genge la mafisadi msiwachonganishe
  17. B

    Kwanini mtu anakuwa masikini mpaka kufa?

    Vijana wa ukawa umewapa vidonge,wakishindwa kumeza shauri yao,mahaba yawateketeze
  18. B

    Vurugu Tunduma: Vijana Wawili wapoteza Maisha

    Ukawa fujo tupu ,kauli za viongozi wao ,mbowe na wengine ,kwamba patachimbia dhambi hiyo inawatafuna
Back
Top Bottom