Search results

  1. L

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Bwana said mohamed, hivi ulishasoma ufafanuzi uliotolewa na Mh. Shukuru Kawambwa juu ya malalamiko yamhusuyo Dr. Ndalichako? Ulielewa vipi? Tushirikishe mkuu. Kumbuka kuwa jambo ambalo unaliweka hapa lisilo na ukweli linapotosha na kuchochea chuki ya kundi la jamii kwa viongozi wa serikali.
  2. L

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Nanukuu tamko la Mheshimiwa Shukuru Jumanne Kawambwa juu ya kosa lililotokea. Katika mitihani hiyo somo moja tu lilibadilika format, somo la Islamic Knowledge. Ilitakiwa kitengo cha IT cha Baraza la Mitihani kibadili formula ya kutafuta wastani na kugawa kwa mbili badala ya tatu za mwaka...
  3. L

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Moderator, Invisible inafaa kupandisha hii nayo kwenye topic ya kwanza. Waziri Kawambwa alitolea maelezo
  4. L

    Tumshauri Dr. Joyce Ndalichako

    Bila hoja wala ushahidi? Mnakubali kushikiwa akili na wachache wenye chuki, bila kuchuja mnayoambiwa.
  5. L

    Tumshauri Dr. Joyce Ndalichako

    1. Nyie mnajua lililokuwa linatokea NECTA kuliko Waziri Kawambwa ambaye NECTA ilikuwa chini yake? 2. MNA uthibitisho wowote wa kubagua Waislamu zaidi ya maneno yanayosikika mitaani? Soma tamko hili la Waziri Kawambwa (ambaye ni muislamu pia) juu ya hayo uyasemayo. Friday, June 8, 2012, at...
  6. L

    Serikali mbona kimya shule binafsi?

    Mimi ni mdau wa ndani kabisa. Wewe tuambie ni ngapi zinapelekwa.
  7. L

    Serikali mbona kimya shule binafsi?

    Tuambie wanapeleka ngapi
  8. L

    Serikali mbona kimya shule binafsi?

    Hivi mtoto akiwa nyumbani unaweza kumlisha na kumpatia malazi kwa 350,000 kwa mwaka? Ikumbukwe kuwa Serikali inapeleka kwenye shule zake za bweni zaidi ya 3m kwa mwanafunzi.
  9. L

    Kwa Makosa haya, Mussa Natty anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine

    Yusuph Manji ni Diwani kwa tiketi ya CCM. Kwa kuwa huyu Manji ni mwana CCM, hatachukuliwa hatua yoyote, wala hataitwa fisadi. Huyu ataachwa kwa kuwa akichukuliwa hatua chama kitachafuliwa. Ikumbukwe pia huyu ndiye alikuwa chaguo la CCM kugombea umeya wa JIJI>
  10. L

    'TeamLowassa' ndiyo inayoshughulikiwa, Wapinzani kufuata

    Tatty anaandamwa kwa kuwa msimamo wake ni kuwa block wale wabunge wa Zanzibar walioletwa Kinondoni kama mamluki kuongeza wajumbe wa CCM kwenye kikao cha kuchagua Meya. Soma zaidi FRIDAY , 11TH DEC , 2015 Mchakato wa kuwapata Meya wa Manispaa ya Kinondoni na Ilala jana umeshindikana baada ya...
  11. L

    Siri yafichuka: Kumbe Mussa Natty ni Katibu wa Friends of Lowassa Wilaya ya Kinondoni

    Sababu halisi ya Lizaboni kuanzisha uzi huu, ni kuwa huyu Mwenyekiti wa halmashauri ametofautiana na vigogo wa CCM juu ya azma yao ya kulazimisha wabunge mamluki wa CCM kuingizwa kwenye baraza la madiwani la manispaa hiyo. Kama inavyofahamika CCM baada ya kuona kuzidiwa idadi ya madiwani...
  12. L

    Siri yafichuka: Kumbe Mussa Natty ni Katibu wa Friends of Lowassa Wilaya ya Kinondoni

    Hakuna rafiki mkubwa wa Lowasa kama Bashe na Serukamba.
  13. L

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Makonda ni mzigo kwa watu wa Ubungo na Wilaya nzima ya Kinondoni.... ana hasira , dharau, mbaya zaidi hajui mipaka yake yeye kama DC ....
  14. L

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Mimi ni mpiga kura wa Ubungo. Kwa taarifa yako mimi nimemchoka Makonda.
  15. L

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    You need to learn and develop political tolerance. Sehemu za dunia zilizo na vita ni watu Kama wewe huchochea Umelewa madaraka na unachochea hasira za wanaoonewa na mfumo
  16. L

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Una mawazo ya kidikteta kuliko ya Adolf Hitler na Stalin
  17. L

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Sioni haja ya kuendekea kujadiliana na mvivu wa kusoma
Back
Top Bottom