Search results

  1. drrwgrant

    Je, Bondia wa Tanzania wapo mbele sana Afrika ya Mashiriki?

    Mdogo wangu hapa UK mshabiki sana wa mchezo huu. Kaniuliza juuzi inakuaje bondia wengi kutoka Tanzania hupata mafanyikio siku hizi ngazi ya kimataifa, wakiwaachia kwenye mataa kabisa wenzao Wakenya, Wauganda n.k. Je, ni kweli? Na kama ndiyo, sababu yake nini hasa? Nitashukuru nikiyapata machache...
  2. drrwgrant

    Hodi hodi mpaka ndani

    Ahsanteni sana kwa kunikaribisha. Vile naomba radhi kwa kukosea hapo juu, nilitaka kuandika "baada ya kulurku" na siyo "baada ya kukurukukuru". Lurku nimeibuni tu kutoka neno la kingereza lurk: kufuata mazungumzo ukiwa mwenyewe unakaa kimya na kutochangia lo lote. Hilo neno lengine kukurukukuru...
  3. drrwgrant

    Hodi hodi mpaka ndani

    Jamaani salamu zote! Baada ya kukurukukuru tu kwa muda mrefu nikaona bora nijiunge rasmi na nimefurahi sasa kuwa mwana-JF halisi.
Back
Top Bottom