Search results

  1. Sn2139

    Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salumu: Upande ambao haujaridhika kuhusu Uchaguzi usisababishe vurugu, bali ufuate taratibu zilizopo ikiwemo ya kisheria

    AMANI ya NCHI yetu ni muhimu. Kila mtu anakubaliana na hilo. Uchaguzi umekwisha salama. AMANI bado ipo. Shehe anatahadharisha tusije tukaiharibu amani yetu. Wote tuliopo Tanzania hili linaeleweka. Kila binadamu raia wa nchi hii analielewa hili. Lkn humu haifahamiki kama kweli wote ni binadamu...
  2. Sn2139

    Mkapa, Kikwete, Mwinyi na Nyerere hawakuwahi kupanda Madhabahuni kuhutubia Taifa?

    unachoweza ni kunitukana tu lkn huna uwezo wa kutetea hoja yako dhidi ya hoja yangu kwa kutumia sheria ya dini, serikali ama science. Baki na pumbavu yako
  3. Sn2139

    Mkapa, Kikwete, Mwinyi na Nyerere hawakuwahi kupanda Madhabahuni kuhutubia Taifa?

    Hakuna sheria yoyote inayokataza Kiongozi wa Nchi kutumia madhabahu kuhotubia. Hata hivyo madhabahu ni sehemu ya kawaida tu sawa na sehemu zingine ndani ya msikiti na ama kanisa. Shida yako ni kuwa wewe ni miongoni mwa wananchi wachache wasiompenda kiongozi wa sasa wa nchi yetu.
  4. Sn2139

    Bila ukuta tusingemjua Laizer- Rais Magufuli

    naked truth! pongez nyingi kwa rais huyu (Magufuli)
  5. Sn2139

    Freeman Mbowe Aongea BBC, amvaa upya Rais Magufuli kuwatumbua wahusika wa upimaji wa vipimo vya Corona

    topik zingine huwa zina anzishwa na watu wanakusanyika hapo. sasa ukitaka ku comment angalia kama wengi wa waliokusanyika hapo watapenda hiyo comment yako, au utaambulia matusi. Na kwa sababu hiyo mimi huwa sipendi ku comment kabisaaa.... lkn leo naomba niseme kidogo tu kuwa; Mh Mbowe ameongea...
  6. Sn2139

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha Mawaziri wawili na Balozi. Ahoji kuhusu upelelezi wa tukio la utekwaji wa Mo Dewji

    Hotuba nzuri na imejaa dhamira na ufahamu wa kutosha ktk jukumu jipya. Nimeweka matumaini kwa mafanikio
  7. Sn2139

    Hili swali angeulizwa Magufuli....kingetupa majibu mengi..

    Mikatabafeki: Hiki ni Kiswahili sahihi zaidi, kinyume cha hapo ni feki na sio jambo la akili kubwa au ndogo. Pole kwa kuchanganyikiwa mkuu
  8. Sn2139

    Hili swali angeulizwa Magufuli....kingetupa majibu mengi..

    Suali lako linaonesha namna unavyopungukiwa na ufahamu wa Mungu anavyofanya kazi. Suali hili lingekuwa suali la ovyo kuliko masuali yote aliulizwa Rais tarehe 4. Pole mzee
  9. Sn2139

    Imethibitika, Tanzania ni Nchi Masikini bila kujali kauli za Watawala.

    Jibu la suali lako mkuu ni gumu kwa sababu watu tumegawanyika mno sasa hivi. Mgawanyiko wa mawazo na itikadi za watu ni wa kiwango kikubwa kiasi cha kutisha. Nikitoa jibu langu sidhani kama litapendeka na ama kusikilizwa kwa sasa.
  10. Sn2139

    Imethibitika, Tanzania ni Nchi Masikini bila kujali kauli za Watawala.

    Mkuu Ndikwega, tatizo ni kuwa hata huo ujasiri tunaoutaka ni ule usiokuwa na nidhamu ni ujasiri unaoondoa uoga wa na uadilifu pia. Mwendo huo hautatuletea matokeo mazuri kamwe.
  11. Sn2139

    Lema: Rais akiendelea kufikiri yeye ni Mungu basi Mungu atasitisha maisha yake kabla ya 2020

    Bwana Mystery, mimi sioni ubaya wa kauli hiyo. Kila mtu ana namna yake ya kuongea kwa kutegemea namna anavyomudu lugha husika. Pia inattegemea na aina ya misamiati aliyozowea tangu makuzi yake ya utoto na shule alizopitia. Pia inategemea na jamii aliyolelewa na kukulia.
  12. Sn2139

    Imethibitika, Tanzania ni Nchi Masikini bila kujali kauli za Watawala.

    Mimi nimegundua kuwa, sisi wa-Tanzania ni watulivu ( wengine tunasema ni waoga) lakini kuna ukweli mwingine mkubwa kuhusu wa-Tanzania. Baada ya kutoka kwenye mfumo wa kijamaa na kuingia kwenye mfumo wa kufanana na ubepapari (quasi capitalism) ambaao kwa kweli ni mfumo wa kifisadi sasa watu...
  13. Sn2139

    Lema: Rais akiendelea kufikiri yeye ni Mungu basi Mungu atasitisha maisha yake kabla ya 2020

    Nimesoma mawazo mbalimbali ya wana JF na kuona yalivyogawanyika. Lakini pia nimeona "magnitude" ya hasira aliyo nayo Lema dhidi ya rais wa Jamhuri. Siwezi kuelewa hasira hiyo inatokana na nini hasa. Siamini kama rais Magufuli kwa tamko la "sijaribiwi" ni tamko la kujifanya Mungu. Je tamko na...
  14. Sn2139

    Kikwete: Ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yawe mapya

    Mtu yeyote mwenyewe mawazo yake anaweza kujisemea habari kwa makusudi ya kusema ukweli fulani ama kujifariji yeye mwenyewe. Na wakati mwingine mtu anaweza kusema habari asiyoipima vizuri na Watu wakaipokea vilevile bila kuipima. Hivyo mjadala unaweza kuwa na marumbano marefu yasiyo na uelekeo...
  15. Sn2139

    Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

    Gavana, naona umepiga kona kali kutoka kwenye mada. Ukweli nimekuandikia na hukujadili Haifa mada moja ya bandicoot langu hapo juu,. Basi mawazo yako ni kushmbulia Pengo na Biblia kazi ambayo nakuhimiza uifanya kwa bidii lakini hutapata mafanikio ya makusudi yako hadi kiyama. Kama unabisha mfano...
  16. Sn2139

    Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

    Kijana Gavana, naomba urudi kwenye jukwaa la dini, uondoke huku kwenye jukwaa la siasa. Huku unaanza kueneza chuki zako dhidi ya Nyerere tunayemheshimu Nyerere kutuongoza vyema na kutupatia muungano na ndugu zetu wa Zanzibar waliokuwa wamevamiwa na sultan Mwovu, mgeni na aliyetaka kutuvuruga...
  17. Sn2139

    Rais Magufuli usije kutuambia mlininukuu vibaya 2020!!

    Wewe pia usiogope kuelewa ukweli huo. Pole kwa kudhibitiwa ulaji wenu
  18. Sn2139

    Rais Magufuli usije kutuambia mlininukuu vibaya 2020!!

    Hana vision ya ufisadi kama wengine. Lawama hizi ni Kama ombi la uhuru wa kuendeleza madili na ufisadi uliozoweleka. Magufuli kanyaga twende baba
  19. Sn2139

    Uzinduzi kampeni CCM kata ya Kigamboni

    je watu walikuwa hao tu hadi mkutano unakwisha?
Back
Top Bottom