Wizi ni tabia mbaya na haikubaliki popote.
Hata hivyo, nafikiri maendeleo yanakosekana kwa sababu ya ujnga zaidi. Mwizi hujimilikisha visivyo vyake na kuwa tajiri, kwa hiyo waafrika ni wajinga wanaoruhusu wageni (wezi) kuiba raslimali zao.
Siku zote chama kinatakiwa kuwa na wananchi ili wakiunge mkono. Kwa kuwashawishi wananchi, chama chaweza kubadilisha team yake serikalini kutokana na hoja za wananchi.
Hata hivyo, kwa sababu ya siasa za uchawa wa kutafuta teuzi, chama tawala, watumishi wa serikali na vyombo vya dola huimba...
Uchumi wa nchi za Afrika, ukiondoa Afrika Kusini na zile za Kiarabu (kaskazini) umeshikwa na magabacholi kwa asilimia kubwa. Serikali na taasisi za kidola hufikiria na kuelekeza nguvu nyingi kulinda viongozi huku wakisahau umiliki wa uchumi na teknolojia.
Rushwa kubwa hutokea kwenye sekta za...
Kunapokuwa na vacuum uchafu unaweza kuingia.
Ni muhimu kutoa taarifa sahihi kwa wakati sahihi kunapokuwa na jambo lisiloeleweka, hasa linalohusu usalama wa raia (uhai/maisha).
Kama walipotosha baada ya taarifa sahihi kutolewa hapo kuna uzito, vinginevyo wapewe onyo na maelekezo ya kutulia...
Maendeleo ya eneo lolote hufanywa na wakazi husika kutokana na fikra na vitendo vyao katika shughuli za kiuchumi (mbunge ni mwananchi anayewakilisha maoni na kero zao bungeni, ili serikali ipate taarifa ikatatue, hasa kwa zile huduma muhimu kama elimu, afya, barabara, maji, ....).
Hata hivyo...
Uchumi waweza kuwa mkubwa ukiwa mikononi mwa wageni. Hii ni changamoto pia ambayo ni kazi ya TISS kufanya uchunguzi na kushauri vitendo vya marekebisho kwenye Sera na uendeshaji wa siku kwa siku wa serikali na dola (uchumi waweza kuwa mkubwa kinadharia kwa wananchi).
Hii ipo kiwizi wizi na ni kazi ya polisi zaidi, labda takukuru walifanya baada ya kuambiwa polisi wamekula rushwa na kutochukua hatua (maelezo haysjitoshelezi) .
Huyo anatakiwa aelimishwe tu kwamba Wazanzibari wanaitegemea Tanganyika kuliko watanganyika wanavyoitegemea Zanzibar.
Pili, siyo rahisi kurudi nyuma tena kwenye uwepo wa nchi mbili, Tanzania ni ya wote kuanzia bara hadi visiwani (fikra kama zake hazina nafasi tena katika zama hizi). Yeye...
Hoja zenye mantiki lazima tuzikubali bila kujali katoa nani. Hii itakuwa kwa maslahi mapana ya ujenzi wa jamii na taifa kwa ujumla.
Vyama viache Siasa za kipumbavu na hoja za kijuha hazisaidii kizazi hiki na kinadidimiza fikra na ni uangamivu kwa vizazi vijavyo.
Siasa lazima zijengwe katika...
Makadirio hafifu ndiyo uthibitisho wa kutojali au kutothamini utu wa wakazi hao.
Vinginevyo ithibitishwe kwamba waliofanya makadirio hayo ni wajinga, hivyo wafundishwe au waondoshwe katika utekelezaji wa zoezi hilo au mengine yafananayo.
Mwanamke hajawahi kuzuiwa kununua ardhi na kupata umiliki wa kisheria. Changamoto ipo kwenye urithi wa ardhi kimila.
Wazee wa mila walikuwa na akili za kulinda jamii kuliko Sisi wa kizazi hiki (wao walitumia akili za kuzaliwa yaani common sense), wakati sisi tunakariri yanayofundishwa, zaidi...
Yuko sahihi kwa asilimia 100.
Lazima msichana ajilinde mwenyewe kwanza kimsingi(ajengewe fikra za kujilinda), sheria na jamii kwa ujumla ni hatua ya pili.
Wasichana hujiachia kwa sababu hawajui wajibu wao kujilinda na pia madhara wayapatayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.