Search results

  1. J STIZO TOUCHZ

    Bei ya tani kwa kilimo cha alizeti

    Sorry Tani moja ya alizeti ina kwendane kwa sasa
  2. J STIZO TOUCHZ

    Bei ya tani kwa kilimo cha alizeti

    Msaada bei ya tani kwa kilimo cha alizeti tafadhali wadau Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J STIZO TOUCHZ

    Hivi kwanini mtu anayepanda ndege husindikizwa na kupokelewa kwa mbwembwe tofauti na mpanda mabasi?

    usafiri pendwa mkuu wachache wanautumia ndio maana wengi hupenda kuosha macho
  4. J STIZO TOUCHZ

    Mwandishi wa habari wa namna hii hafai hata kidogo. Jiulize hii camera ingekuwa bunduki?

    Nafsi zimetofautiana kati ya mtu mtu kustahimili maumivu (hisia) japo ni mwanahabari ila nae ni binadamu Rip mapacha wetu Amen
  5. J STIZO TOUCHZ

    RC Paul Makonda kutumia askari 400 wa JKT kufanya usafi wa mazingira

    Ni swala la maendeleo usafi utamgusa kila mtu afya ni neema
  6. J STIZO TOUCHZ

    Ungeachwa hadi ufikishe miaka 18 (mtu mzima) ndio uchague Dini, ungechagua ipi?

    Tunaongozwa kwa sheria na amri si kila mwenye dini ni mwema kwa matendo safi
  7. J STIZO TOUCHZ

    Ungeachwa hadi ufikishe miaka 18 (mtu mzima) ndio uchague Dini, ungechagua ipi?

    tuchambue na kuelewa kwa kina hilo jambo tunaloongozwa mkuu dini haitampeleka mtu peponi ila moyo safi hakika tutaona neema ya milele
  8. J STIZO TOUCHZ

    Ungeachwa hadi ufikishe miaka 18 (mtu mzima) ndio uchague Dini, ungechagua ipi?

    Kikubwa imani uliyo moyoni dini ni mwongozo tu imani ndio itayo kuponya
  9. J STIZO TOUCHZ

    Nimefika salama Johannesburg

    kila la kheli huko ulipo tembea vyema mkuu
  10. J STIZO TOUCHZ

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nita tv flat aina ya ZEC ina king'amuzu ndani niki search napata channel zenu za startimes je naweza kujiunga bila ya kutumia king'amuzi na kama inawezekana utaratibu upoje?
  11. J STIZO TOUCHZ

    Bukoba: Mahakama yamhukumu miaka 60 jela Ustadh Amoud kwa ubakaji na kulawiti mtoto aliyekuwa akimfundisha elimu ya dini

    Inasikitisha sana wacha aende tu kuharibu Watoto c jambo la kufungia macho
  12. J STIZO TOUCHZ

    Kuhudhuria misiba kunavyowatia umasikini Watanzania

    Kuhudhulia msiba ni jambo la kufarijiana si uoga
  13. J STIZO TOUCHZ

    Benki Kuu ya Tanzania wazungumzia madai ya kuwasili kwa mabilioni ya Dkt. Shika

    Mzee mia tisa inapendeza dr shika ama kweli anawashika kweli yajao yana furahisha
  14. J STIZO TOUCHZ

    Kichwa kinauma, nina miaka 30 sasa na ninamiliki vitu hivi tu

    Maisha ni mapambano ndugu mwiko kukata tamaa
Back
Top Bottom