Jana (Juni mosi, 2020) majira ya saa 8 Mchana, gari aina ta Prado ya rangi ya kijivu T304 DHK likiwa na watu 6 ndani yake lilizuiliwa kwenye ‘Barrier’ ya mjini Lindi karibu na Shule ya Sekondari ya Lindi baada ya Polisi kupata ripoti kuwa gari hilo lilikuwa linakwenda kasi na kukataa kusimama...
Alafu ThisDay watasema. "Kwa ya ndani kabisa ya ukaguzi wa TANESCO inasema bla bla bla"
This thing is very very big, Watanzania wengi wameshaisahahu. si unajua serikali inavyojua kuSpin mambo! Checki hii ya buzwagi ilivyokuwa spined
Tuanze na hi ya Richmond Kwanza..
Tender
PC/10/2006 for Emergency Power Supply from rental Gas Based Generating Plant of 100MW
Summary of issues in the tender
========
Procurement plan was not prepared for the tender tender treated as emergency procurement but advertised internationally...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.