Search results

  1. S

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    hakuwa responsible kuyashughulikia kwa wakati wote huo kwa sababu kulikuwa na wenye dhamana hyo lakn hawakushughulikia positively.sasa anachukua jukumu hilo ni muhimu ayastudy effectively.hajakosea na imetufariji sana sisi malofa.
  2. S

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    amekwenda kuangalia matatizo ya wananchi physicaly. hasa kipindi hiki cha kampeni.sioni kama anakosea.wakati ule alishiriki kwa njia nyingine kama harambee n.k. sio lazma kila kitu umkashifu mtu hata kama humpendi binafsi. mbona wapo wanaomsema vizuri magufuli lakin kura hawatampigia. khaah...
  3. S

    Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT): Hatutaichagua CCM

    nimeanza kazi mwaka 2008. nimepandishwa daraja mara moja tu mwaka 2011. mshahara ukaja kubadilishwa mwaka mmoja baadae yaani 2012. malimbikizo ya mwaka mzima sijalipwa hadi leo. na kiwango cha mshahara cha sasa kabla ya makato (basic salary) ni 462,000.nina diploma in adult and continuing...
  4. S

    Kamati kuu CHADEMA mmerogwa au CCM imewaingilia?

    roho zinawauma. hivi toka lini ccm wakawatakia mema cdm.? lets talk about UKAWA. mjue kuwa akili hizohzo zinazowatia kiwewe ccm sahv ndizo zmefanya hiyo busara. we tunza kura yako kwa ajili ya mabadiliko. we need a leader not a manager.
  5. S

    Lowassa adaiwa kutaka kuuawa!

    humu ndan kuna lishetani limejivika vazi la malaika linapost uchafu tu.ushindwe ktk jina la MUNGU aliye hai.
  6. S

    Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    hii lazma ipenye mpaka kunako... kaaaz kwelikweli.
  7. S

    UKAWA toeni boriti kwanza ndani ya jicho lenu

    haieleweki umeandika nn?..hebu soma huu uzi wako uone hata kama we mwenyewe utauelewa.
  8. S

    ITV yasalimu amri

    lsh!..badala ya kurudi nyuma na kufikiria kuwa mliwawazia vbaya itvz ndio kwaaanza mnazidi kujidumbukiza ujingani. kile ni chombo cha hbr. kinatoa habari zilizopo.. bila upendeleo. mjinga ni yule aliyedhani kuwa itv inapendelea. yani badala ya kufuatilia homework za watoto wenu, mnakaa kubinya...
  9. S

    Tetesi: Diamond kulipwa TZS 500,000,000 na chama

    hawa jamaa wakishakushika mahala utakubali tu wakugeuze unavyotaka. isshu sio hzo pesa. isshu anaijua mtungi na kata.
  10. S

    UKAWA tuache Kuzomea Wavaa Nguo za CCM

    wengine wamejiandikisha kabisa. japo ni kweli inatia uchungu kuona lijitu linashabikia chama kiovu hadi kufikia kuvaa milapulapu ya kijani/ njano, lakini naunga mkono hoja kuwa sio jambo zuri hata kidogo. ni mfano mbaya hasa kwa nchi hii inayohehimika.
  11. S

    UKAWA tuache Kuzomea Wavaa Nguo za CCM

    ahsante sana mtoa uzi. sio vzuri kabisa na ni ishara ya uvunjifu wa amani.binafsi sijawahi kuzomea mtu. ila nilishuhudia watu kadhaa wakizomewa. kiukweli nilifarijika sana. nilijisikia vizuri sana kuona wanaccm wakizomewa. lakini nakiri kuwa sio jambo zuri hasa kwa nchi yetu hii tamu.
  12. S

    JK: Uteuzi wa Magufuli ni mapenzi ya Mungu!

    miungu ni wengi nowadays. na huenda tunatofautiana miungu tunaowaamini. i once heard about the supreme being.
  13. S

    Kama wamekosa Mikate Waambie wale Keki-UJUMBE KWA WANYWA VIROBA

    mmejiuliza mbona hakutaja na mateja wanaovuta unga?... je hao zi zaidi ya wanywa vroba.? viva UKAWA.
  14. S

    Tulifurika uwanjani kujua utata kuhusu RICHMOND, si kwamba tunampenda Lowassa

    mwenye dAta aende mahakamani. mipasho kwenye kampeni ni tabia za kike. tunataka sera/ ilani za vyama vyenu...
  15. S

    Kauli ya viroba ya rais Kikwete yamponza Magufuli

    ndio maisha bora aliyowatengenezea hao vijana. anajivunia now.
  16. S

    Kutoka Diamond Jubliee Dsm: Mapokezi ya Magufuli baada ya kurejesha fomu NEC

    this is about ccm. mnaomtaja lowassa ktk huu uzi mnawashwa nn?. kama choo cha shimo its like mnajisaidia pembeni hivi!..
  17. S

    Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    jamani hivi huu ni mradi wa serikali au ni wa mdau binafsi.?
  18. S

    Edward Ngoyai Lowassa anavuruga amani ya nchi

    kwahyo we hugundui kama unavuruga amani kwa hyo lugha chafu unayotumia? kweli huko ndo kuchanganyikiwa. tuliza akili. au ndo ulivyolelewa?
Back
Top Bottom