Mwandishi wa kitabu ametoa First Edition, ndio kitabu kina mapungufu mengi ukizingatia mukadha wa uandishi wa kitabu. Naona mwandishi alikuwa ametiwa shime sana kuhakikisha wananchi amabo ndi wapiga kura kuwa wajue ukweli kuhusu viongozi wanaotawala na kwa hilo amefanikiwa.
Ni marekebisho...
Ndio kila Mtanzania ana haki ya kimsingi ya kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi ila tusisahau wananchi wana haki yao ya kimsingi pia ya kuchagua kiongozi wao kwa misingi ya deomkrasia makini.......
Maoni ya wananchi yaheshimiwe na hizi siyo zama za kutumia pesa kununua kura bali ni zama...
Ahsante ndugu mjumbe kwa taarifa hii, naomba pia utoe maoni yanu kuhusu matokeo ya kidato cha nne mwaka huu hapa Tanzaia ukizingatia kwa makini na kwa upeo ulitukuka kuwa ni 17.53% tu ya watahiniwa ndo wana daraja la kwanza mpaka la tatu hao wengine ni daraja la nne na sifuri!!! je taifa...
Hapa ndo tunajifunza elimu siyo cheti bali uwezo, na kuthibitisha uwezo wa wahusika wawe wanarusha machapisho ya tafiti zao zilizoenda shule zionekane katika majarida ya kielimu ndani na nje ya nje,yakipitia kwenye mchakato huo ndo tutajenga taifa lenye sauti ya ushindani uliotukuka kuhimili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.