Search results

  1. A

    Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Tembea kidogo nje ya nchi uone.... jirani zetu Lusaka hawana changamoto ya foleni sababu kuna Round-about zimejinafasi. Huku kwetu kwenye makutano ya mfano Mwenge, Morocco, Ubungo, Buguruni, Mapipa tungeweza kuondokana na foleni endapo zingewekwa rotary za kutosha na pana. Unfortunately...
  2. A

    Jiunge nami kusema hapana kwa udhalilishaji na ubaguzi anaoufanya mmliki wa clock tower café Iringa

    Mimi nashauri tuache kufanya vitu kwa mazoea. Kiustaarab hata baada ya kuingia mgahawani na kuwasalimia, bado ulipaswa kuomba ruhusa ya kutumia washroom (choo). Lakini kwa sababu ushazoeleka ukaona sawa. Tujitahidi kutumia elimu zetu kuondokana na sintofahamu kama hizi katika jamii
  3. A

    Waziri wa Madini aagiza kukamatwa kwa msimamizi kiwanda cha kuchenjua madini, Ntolah Gold Elusion! Asimamisha kazi Watumishi ofisi ya madini Chunya

    Sidhani kama ni gram 30. Tatizo ni kwamba waandishi wetu wa habari ni “reporters” kiasi kwamba hawatoi nafasi ya kushughulisha akili zao japo kuuliza maswali ya ufafanuzi (follow up questions). Nakataa kuamini kwamba siku nzima mgodi unachenchua 30g. ...Pia nakataa kuaminishwa kwamba Mh...
  4. A

    Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Foleni nyingi kuingia na kutoka jijini zinaweza kuondolewa kwa kuweka rotary (mzunguko aka round-about). Mfano, junction za Buguruni, Mwenge, Mapipa zinapaswa kuondolewa traffic lights (taa) na kuwekwa rotary.
  5. A

    Kwanini hamna magari ya kuzoa takataka Masaki na Oysterbay?

    Huku Salasala magari hakuna since November. Mkandarasi wetu amenieleza kwamba kuna mvutano wa kiutendaji kati ya makandarasi wazoa taka na ofisi ya Mkurugenzi. Mkandarasi anadai Mkurugenzi analazimisha malipo ya taka kutoka kwa wakaazi yasilipwe kwa mzoa taka bali yalipwe kwa ofisi ya Mkurugenzi...
  6. A

    FastJet imefilisika na kuhujumu wasafiri?

    Shirika la ndege la FastJet linahujumu sisi wasafiri hasa kipindi hiki cha sikukuku. Shirika limefuta safari zake zote na kuwataka abiria wenye ticket kuwasiliana na ofisi zao ili warejeshewe pesa zao. Ajabu namba za simu pamoja na e-mail hazifanyi kazi. Abiria tumebaki hatujui hatima ya pesa...
  7. A

    Ndege za ATCL zaanza kuhujumiwa na wafanyakazi. Waziri atoa onyo

    Online booking ipo...lkn nahisi Mh. Waziri ana hoja hapo. Wiki 3 zilizopita nilijaribu kufanya booking ya Dar-Mza-Dar kati ya 20-23 Dec na ndege zote za ATC zimejaa. Hivyo kuna haja ya hao watendaji ndani ya shirika wajitathmini upya
  8. A

    Nauza Shamba ekari 40 Fukayosi, Bagamoyo

    Hapana ndugu; uko mbali sana
  9. A

    Nauza Shamba ekari 40 Fukayosi, Bagamoyo

    Uliona wapi kaka? Au wewe mgeni ktk ununuzi wa mashamba, nk [emoji15]
  10. A

    Shamba Ekari 40 linauzwa Fukayosi, Bagamoyo

    Kama uko serious tuwasiliane. Hii ni biashara huria na haina bei elekezi
  11. A

    Shamba Ekari 40 linauzwa Fukayosi, Bagamoyo

    Habari za leo wadau. Nauza shamba langu Fukayosi, Bagamoyo. Shamba lina hati na liko umbali wa takribani 2km kutoka barabara ya Lami ielekeayo Msata. Bei maelewano
  12. A

    Nauza Shamba ekari 40 Fukayosi, Bagamoyo

    Habari za leo wadau. Nauza shamba langu Fukayosi. Lina hati na liko umbali wa takribani 2km kutoka barabara ya Lami. Bei maelewano
  13. A

    MWANZA: Jeshi la Polisi kuanza kuwapima ulevi madereva wanaotoka Baa

    Tumia uber...ukiona ghali ni vyema unywee nyumbani tu. Drinking and driving is dangerous sio tu kwa usalama wako bali hata kwa wenzio wanaotumia barabara.
  14. A

    Kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii

    Inahitaji moyo sana kuwa mwajiriwa ktk kipindi hiki... Ushauri wa wazi kwa wafanyakazi ni kuandaa mazingira bora ya kustaafu pasipo kutegemea mafao uliyowekeza ktk mifuko ya hifadhi. Tofauti na hapo ni kuumizana vichwa manake watawala wameshaamua. Hakuna namna
  15. A

    Msemaji wa Serikali: Gazeti la Tanzanite haliwezi fungiwa kwakuwa hakuna aliyelilalamikia

    Hivyo wanasubiri mpk mtu alalamike as if hawaoni ‘fake news’ na propaganda from that paper [emoji15]. Wakati mwingine ni busara kwa viongozi wetu madaktari wakae kimya tu
  16. A

    Kitendo ambacho flyover ya Mfugale inatufanyia Mungu mwenyewe ndio anajua

    Mbona ametumia lugha nzr tu kufikisha ujumbe.... Au mnataka tafsiri ya ujumbe [emoji817]
  17. A

    Kama kuna mtu anaishi Rwanda naomba anieleze kwa ufupi maisha ya huko yalivyo

    Andaa wastani wa $100 kwa siku. Hotel zipo za bei tofauti, mfano middle class kuna Hilltop; High class kuna Lemigo nk. The choice is yours
Back
Top Bottom