Search results

  1. M

    Naomba kujuzwa nauli ya kutoka Dar mpaka Mtwara

    Mi ni mwalimu mpya nmepangiwa Mtwara vijijini,naomba mwenye ufahamu ya bei ya nauli kutoka Dar to Mtwara.
  2. M

    Siamini kama kesho na mimi ningekuwa naripoti.

    Nawatakieni kila la kheri walimu wenzangu ambao mnaanza kuripoti kesho.Tutaonana hukohuko endapo TAMISEMI watatufikiria awamu ya pili.
  3. M

    TAMISEMI, tuambieni kinachoendelea kwa sisi tuliokosa ajira za ualimu.

    Inaelekea wiki ya 3 sasa tangu ajira zitolewe na sisi wengine kukosa,na mkadai kwamba suala letu mnalifanyia kazi.Iweje mnakaa kimya?
  4. M

    Tamisemi inamaana sisi tuliokosa ajira si watanzania?

    Naongea jambo hili kwa uchungu mkubwa sana.Takribani siku ya tatu sasa tangu majina ya walimu wapya yatangazwe,cha ajabu majina yetu ya sjut-dom(shahada) hayapo kwenye orodha kama 300 na ushee,hamuoni kwamba huu ni ubaguzi ingekuwa chuo kingine mf.udsm mngewaacha hivyo?au sisi tulikuwa tunasoma...
  5. M

    Tamisemi mbona majina yetu hayaonekani?:sjut-dom.

    Napenda kutoa taarifa hii kwa TAMISEMI kwamba mpaka wakati hatujui kwanini majina yetu hayaonekani kwenye orodha, au kuna mengine bado hayajatolewa?wadau mwenye inf. naomba atujuze humu jf.
  6. M

    Sjut-dom: Lawama hizi ni zenu au za tamisemi?

    Hii ni kutokana na asilimia kubwa ya wahitimu wa sjut-dom(ualimu)majina yao kutokujitokeza kwenye orodha ya walimu wapya walioajiriwa 2013-2014.Tafadhali lijibuni hili.
  7. M

    Mgimwa ajihakikishia ushindi kalenga.

    Matokeo yaliyopatikana hivi punde yanaonesha wazi kwamba Mgimwa ana nafasi kubwa ya kushinda kwa kishindo dhidi ya Tendega.
  8. M

    Uchaguzi kalenga:mgimwa njia nyeupe.

    Matokea yaliyopatikana hivi punde yanaonesha kwamba Mgimwa(ccm) anaongoza kwa kura nyingi zaidi Tendega(cdm).
Back
Top Bottom