Search results

  1. M

    Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

    Nchi hii tunadharauliana sn.ipo cku!!!
  2. M

    Update kuhusu post za ualimu second selection

    pole sn.mungu ni mwema,ztatoka.
  3. M

    Msaada kuhusu GPA...

    (a)gpa=total points divide by total units (b)1class:4.5-5;upper2:3.5-4.4;lower2:2.7-3.4
  4. M

    Nimeumizwa sana na Hili la TAMISEMI:

    Mungu yupo walimu wenzangu,atafanya tu.Wapuuzeni haya majitu yanayoleta mizaha kwenye mambo ya msingi kama haya.
  5. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Mzimu wa zitto nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
  6. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Chadema kwishineiii!!!!ccm imepata wapinzani dhaifu,goigoi.
  7. M

    kwa walimu wapya

    sawa mkuu wa kaya!
  8. M

    Naomba kujuzwa nauli ya kutoka Dar mpaka Mtwara

    Acha kuchekesha mahina veterani!kwa basi!chopa la mtei limeloga limeshindwa hata kwenda chalinze.
  9. M

    Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

    Duuuuuuu!pole sana!wilaya gani hiyo?isije ikawa ninayoenda na mimi.
  10. M

    Kuhusu website ya TAMISEMI

    SJUT-DOM tumepangiwa vituo jamani.
  11. M

    Naomba kujuzwa nauli ya kutoka Dar mpaka Mtwara

    Makao makuu ya mtwara vijijini yapo wapi jamani.Vipi mazingira ya huko kwa ujumla.
  12. M

    Tamisemi inamaana sisi tuliokosa ajira si watanzania?

    Hatimaye wana SJUT-DOM ambao tulikosa ajira leo tr.03,tamisemi wametuajiri wote 318,na tunaripoti pamoja na wenzetu.Mungu awabariki wote mliotuombea pia awasamehe wale waliokuwa wanatoa maneno ya dhihaka kwetu.
  13. M

    Waalimu wapya ambao hamjapangiwa angalien Website ya Tamisemi.

    Unachosema mcharge ni kweli kabisa.Me mwenyewe nilikuwa na wakati mgumu sana baada ya majina yetu kutokutolewa na tamisemi ile tr.15.Tuzidi tu kuwahimiza tamisemi,kitaani pagumu sana.
  14. M

    Uchakachuzi wa hela za walimu wapya

    Wadau, mwalimu wa shahada aliyepangiwa halmashauri analipwa sh.ngapi per day?
  15. M

    Ajira kwa walimu ambao majina yao hayakutoka mapema

    Pole ndugu,mtapangiwa tu,kwani chuoni kwenu mlikosa wangapi?
Back
Top Bottom