Taifa ni kubwa kuliko mtu binafsi. Siku za usoni ni bora tukafiria njinsi ya kutengeneza mifumo bora. Kinacho tu beba ni busara na uvumilivu wa wenye nchi wananchi na ndiyo maana mawimbi na dhoruba zikitupiga tuna simama. Katiba mpya ni muhimu kwangu, kwako, na mwingine!
Kuongezea tu. Afukuzwe! Sababu genetic make ya hayo mahindi na virutubisho vywenyewe havijulijani. Kwa nini mahindi na mchele wakati tunajitosheleza! Afukuzwe tu!
Hoja yako haina afya kwa mstakabali ya ukuaji wa demokrasia Tanzania. Tanzani ni kubwa kuliko Khery James na Msigwa. Kikubwa na jambo la kheri ni demokrasia iachwe ichukuwe mkondo wake!
Siyo CHADEMA ila suala kuwa na rais kila mara mmmmmhhhh. Zama zake zimekwisha na alichoshindwa kufanya kipindi kile basi imetosha. Ni vyema na ni baraka na insatahili kulewa wajukuu.
Ukishapata upinzani kwa kina mama njia yako ya kisiasa inakuwa sawa na kupanda mlima Everest! Twende tukacheze singeli ningoma nzuri na pendwa maeneo ya pwani!
Ulitakiwa kudanganya kipindi ambapo mambo ya dunia hayakuwa wazi. Tunafuatilia siasa kote ulimwenguni vyama vya siasa vinasemana. Wanasiasa wanasemwa na madhaifu na matendo yao maovu yasemwa waziwazi tena hadharani. Ndiyo siasa zenyewe uwanja wenye mtifuano mzito. Unapiga mtu na kitu kizito...
Uchumi ndiyo huo mfumuko wa bei juu. Uwezo wa shilingi dhidi ya dola uko wazi! Tuendelee takwimu hazidanganyi. Uwezo wa wananchi kununua bidhaa nao haudanganyi. Maisha magumu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.