ilitoka ikiwa na miez mingapi?kama walimsafisha vizur hakuna shida anshika nyingine kama kawaida acha wacwac suns we komaa na lishe bora zen apate muda mwingi wa kupumzika usimfanyishe kaz kam kufua,kudek na nyinginezo mana pia zinapelekea kuchoropoa mimba cunajua anwake wa cku hz,we mpe mahitaj...
pole mwaya my dada nimeamin mimba haina uzoefu,kwa uelewa wangu mm naona ni kawaida coz mtoto ndo anajianda au ameshaelekea getin kwa maandaliz ya kuja dunian bt wot i can advice you ni kwenda kwa matabib kwaajil ya kuona maendeleo ya mtoto bt mazoez usisahau japo kwa uchache ktk kila cku
Nashkur wandugu kwa ushaur wenu mola awabariki nimeenda hospital tumechek tayar dogo ameelekea getini,wametushaur kufanya mazoez na kuzingatia mambo ya misos,xnx a lot
kaka huku niliko ni ful majanga nipo mara serenget yan hospital yenye atrasaund ni moja tu na hao maspecialist ni sawa na hakuna adi nachoka kila tukienda wanasema hakuna tatizo et ni kawaida ata celew katoto kenyewe ndo kakwanza
Jamani msaada kwa wajuao kama kuna dawa mrs ana uja uzito wa miezi saba na nusu anapata maumivu makali kuanzia kiunon hadi karibu na mbavu upande wa kushoto tuu maumivu ambayo yanapelekea maumivu ya tumbo,wakati mwingne hawezi kulala wala kuka nata hamu ya kula,sambamba na hlo anatapika na pindi...
Jaman naomba msaada kwa yeyote anaetaka kuja wilaya ya serengeti,serenget sec.niende moro mjin au mvomero plz ukilipztz tzngzo hili mjulishe na mwenzako 0713434286
Mum ni tofaut na vyuo vingne tanzania,inajenga watu katika nyanja zote za maisha ww unaesema wanaubaguz uliwah kuomba ukasome pale ukanyimwa nafac?acha utaratib wao uwe ivoivo hatakaopelekwa mum bila ridhaa yao i believ watarud ndan ya mwez mmoja tu mum hawaangalii sura ukichemka ni kwenu hakuna...
Kwan hayo magol yanatakiwa kua mangap mana naona na ngono nayo imekua panado 2x3 kw cku unawezaje kushindana na sehem uliotokea kuen makin vijana kumbuken kupata ukimwa ni kaz. Ni mtazamo tu
Ni vizur mama mja mzito kuchukua tahadhar kwa kutumia vitu mbalmbal vya asili vinavyoongeza damu kama vile zambarau,zabibu,matembele,mchuz wa maharage,mchicha,rozela na vngnevyo ili kua ktk safe side during delivery,inashauriwa mama mjamzito had kujifungua iwe 14-16, so yte haya yakishindikana...
Kwa ushaur wangu rud haraka hospital ukawaeleze mambo yalivyo,inawezekana ukipata hedh tu mambo yakawa safiiiiii,ucjal na usichoke ni mitihan tu kua na uvumiliv my dada
Kizaz kinaweza kua na shida mbalmbal ebu tumshaur mwenzetu aende kuonana na madaktar,unaweza kunywa midawa kumbe ndo unapotea uwezo wa kuzaa,nenda kwa madktar uone tatizo ni nn,huko utafaham kizaz kina shida gan hata hao wa miti shamba watajua specif dawa kulingana na tatizo lilopo mkuu
Dr mwaka anatibu kwa miti shamba bt suala la kutopata mtoto ni mipango ya mola,umeenda kwa dr kufanyiwa uchunguz?mana kuna uwanja mpana juu ya masuala ya uzaz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.