Search results

  1. vukani

    Vivutio vya utalii Tanzania na faida za utalii wa ndani

    Kuweka kumbukumbu sawa: HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, MHESHIMIWA ESTHER NICHOLAS MATIKO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2015/16 NA MAKADIRIO YA...
  2. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Wakati huo nitakuwa zangu huko KIDELEKO shuleni nafundisha Anyway nasubiri muniandalie
  3. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    LOADING........................ Source: @C6
  4. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Hujambo bibiye sikumbuki mara ya mwisho ulionekana lini mtandaoni
  5. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Si unajua siku hazigandi shosti, mwaka gani maana haya mambo ya kuku kumwambia kifaranaga utanyonya kesho mie nayaogopaaa..
  6. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Ndio ushaanza harakati za kutaka kunivunjia ndoa mapema yote hii? Mambo ya kunyimana yanaingiaje hapa. FYI Nimeolewa na Mkurya, ole wako, ukigusa tu, MAPANGA SHAAAA!!!!!
  7. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Kitandani. Nishakujibu uliza swali jengine
  8. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Ndio mnanitenga au? fanyeni uungwana basi japo kwa siku moja tu
  9. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Ipeleke TATAKI wakaihariri Mie siyo muandishi wa habari
  10. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Nilitarajia mwaliko kutoka kwako wa kule kwenye kiota chenu cha leo tupo hapa pub, lakini naona maneno matupu ambayo hayavunji mfupa. Bi dada hebu acheni ubahili na ubaguzi yaani hamtaki haya kunitoa kimaso maso mtoto wa mwanamke mwenzenu Cc: amu, ladyfurahia, sweetlady, FirstLady1, AshaDii...
  11. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Siotagi ndoto mbaya kwa kuwa kabla ya kulala huwa nasali
  12. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Hee, Kiranga una nongwa wewe! Mweh!!!! Nimeshakiri kwamba "I CAN'T YOU" bado tu?
  13. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Nlitegemea jibu hili kutoka kwako, wewe si mgeni kwangu Ahsante kwa kuchangia maana umetuelimisha na tumejua uwezo wako katika kuchambua mada na kuleta changamoto. Hongera kaka.
  14. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Mwakani nitakuja na ndoto ya kutimiza miaka 50 ya ndo na hakika ndoa yangu itatimiza miaka hamsini na bonus juu
  15. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Sasa Mungu anifunulie mara ngapi, anifunulie katika ndoto na bado nisimuamini? Nimezaliwa na kulelewa katika dini na nimfuasi mzuri wa dini kuliko unavyofikiria
  16. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Kaka Kiranga, je ushawahi kusoma kitabu cha darasa kama sikosei la tatu ambapo kuna hadithi inayoitwa NDOTO ZA KIMWERI? Kuna mdau hapo juu katanabahisha kwamba kilichonitokea ni maono lakini wewe hutaki kuniamini, Je ulitaka nikuote wewe?
  17. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Ulikosea sana kumbutua, la sivyo angekuwa leo hii ni mumeo
  18. vukani

    Mume aliyenioa alinijia ndotoni miaka 10 iliyopita!

    Ahsante Paloma, namshukuru Muumba kwa kunipa mume wa ndoto yangu ambaye ni mwema na anayenipenda na kujali familia yake
Back
Top Bottom