Search results

  1. M

    Miradi ya Ujenzi inayoendelea Chato inahitaji mjadala wa kitaifa

    Hata CRDB waliojenga jengo kubwa ambalo lingepaswa kujengwa km mwz au Geita au KATORO kwenye mzunguko Mkubwa walii gizwa king wakajenga Chato.Cha kushangaza Wateja ni wachache ajabu kwa wale waliosoma Service rate au Queeing ni kama ratio ya 2hrs:1customer! Ukienda pale mpaka unawahurumia...
  2. M

    Miradi ya Ujenzi inayoendelea Chato inahitaji mjadala wa kitaifa

    Give two years to come utasikia Chato ni makao makuu ya mkoa.Hayo ni maandalizi tu.
  3. M

    Tanzania njia panda: Benki ya Dunia ina hisa mgodi wa Dutwa uliofutiwa leseni kujenga tenki la maji

    Mimi natokea Maeneo ya Dutwa,Bariadi.Hao jamaa Wa kampuni huska(exploration crew) walikaa Dutwa zaidi ya 7 years na waliondoka Mwaka 2015 mwezi wa July au August walikuwa na heavy drilling machines na crew kubwa ya watumishi na mwezi Nov, 2016 RC Wa Simiyu alikwenda Chato kuonana na naibu waziri...
  4. M

    Video: Mhe Kikwete na Rais Magufuli walivyocheza muziki pamoja

    MZEE Kikwete bwana binge LA tozi!If possible he could have appealed for teenage.
  5. M

    Picha nne ambazo ningependa Mh. Rais azione!

    Wewe unajidanganya toka mjini hasa Dar ingia vijijini ambako chakula ndo hutokea kisha rudi kwenye GPS yako na Fanya utafiti wako huo fake.Majani kuota ni rahisi sana kuliko kustawisha mazao kwani drought resistance ya majani ni kubwa kuliko cereals. Kuwa na akili hata kidogo ndg.
  6. M

    Rais Magufuli: Serikali yangu haitayafumbia macho magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi

    Atengeneze cha awa Kiwanda hiki ni cha miaka 3 iliyopita chini ya Kkikwete.Yeye ahamasishe vya awamu yake ssi kudandia vya awamu za wenzake.
  7. M

    ARUSHA: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa kwa Amri ya Mkuu wa Mkoa

    Arusha mjini ndo mpango mzima.
  8. M

    Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

    Vipi kuhusu DCs na RCs;Gambo,Makonda,Kebwe.........
  9. M

    Lema hayupo kizuizini kwa kosa la ndoto

    Mrisho Gambo anatengeneza mazingira ya kugombea ubunge Arusha mjini na kigezo ni kwamba ananaifahamu Arusha vyema kwa kusomea Njiro chuo cha uhasibu Arusha kwa kozi zote yaani Adv.dipl in IT na Masters degree in computer science pia kufanya kazi za vibarua manispaa Arusha na Nelson Mandela.So...
  10. M

    Nini kinachoendelea Singida?

    Siyo Singida tena .Baada ya ibada ya xmass Jana asubuhi ngoma ilinyooka moja kwa moja Chato by SAA kumi Jana alikuwa ndani ya Lubambagu_Chato.
  11. M

    Kuna watu walizoea kubebwa!

    Wapi mama Nagu, wapi Nyalandu et el
  12. M

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Kinondoni, Engineer Nati asimamishwa kazi, aamriwa kurejea Dar

    Tarime one hilo ndilo jibu lakini Km magufuli ameanza hivyo hakika atashindwa. Uongozi hauendi hivyo aendelee.
  13. M

    Nani Zaidi Kati ya Mbunge na Mkuu wa Wilaya?,Nani Mwenye Nguvu Zaidi?,Nani Mwenye Mamlaka ya Kweli?

    Mfarisayo unajichanganya Sana kulinganisha mshahara wa DC na Mbunge ni kukosa weledi.
  14. M

    Kuna Uhusiano Kati ya Dr. Medard Kalemani ( Naibu Nishati) na Magufuli?

    Kalemani ni ndg wa JPM pia kupewa unaibu waziri ni kumuwekea Leprofeseri watchdog kwani JPM anaamini Muhongo ni mtendaji mzuri japo ana mkono mrefu na mdomo mchafu km ilivyo sura yake hasa akikutana na combinations km ya mkwere.
  15. M

    Rais Magufuli na msafara wa magari 4

    watanzania tuna. mtindio wa ubongo yaani mtu ndio anaanza kazi sifa zinazotolewa hazilingani na hata robo ya kazi aliyofanya.
  16. M

    Ukweli utakuweka huru: CHADEMA mbioni kufa?

    mtoa mada akili hazimtoshi
  17. M

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Inaumiza Sana . Nakoswa hata neno la kusema hasira zimeujaza moyo wangu!
  18. M

    Kikwete aingia mtaani

    Bwana mijisifa huyo
  19. M

    Historia ya Freeman Mbowe 1970-1995: Mbowe ni Nani?

    Mwanzisha thread nahisi hujipendi, nafuatilia maneno yako nahisi hamnazo. Huyu unayetaka watu wamjadili si wa peer yako na wala ukoo achilia kabila lenu lote hakuna mtu km huyu unayetaka tumjadili, endelea!
  20. M

    Mawaziri Sita wameachia nyadhifa Zanzibar

    Ooh Bavaria! Kweli tumerudi nyuma.
Back
Top Bottom