Search results

  1. Mohammed Dewji

    Mo Dewji na plagiarism kutoka NY Times

    Wanajamii Forums......mimi ni binadamu hivyo kama wengine nilisahau kuwrite citations pale chini lakini ofcourse the article from NY Times made me write the article in Swahili my intentions were not bad......nilikuwa najaribu ku highlight tatizo la umeme sasa kama nimewakosea wengine kwa...
  2. Mohammed Dewji

    Tatizo la umeme nchini linahitaji ufumbuzi wa muda mrefu na sio muda mfupi

    Ninashukuru kwa comments wadau.......ni post yangu ya kwanza lakini ninataka wadau wajue kuwa tatizo la umeme limeshamiri mpaka katika nchi kama Nigeria wakati wamejaliwa utajiri wa mafuta......tukiyaacha hayo I believe constructive discussion should be encouraged... WanaSingida nimeshirikiana...
  3. Mohammed Dewji

    Tatizo la umeme nchini linahitaji ufumbuzi wa muda mrefu na sio muda mfupi

    Mambo mengi yamesemwa kuhusu tatizo la umeme nchini Tanzania, mimi nitaanza kwa kugusia mambo machache yanayoonyesha matatizo ya umeme yalivyokuwa makubwa ndani ya bara letu la Afrika: Hatujawekeza ipasavyo kwa miaka 15 hadi 20 katika kitengo cha uzalishaji na usambazaji wa umeme...
Back
Top Bottom