Search results

  1. S

    Most Powerful Militaries in Africa

    Nadhani utakuwa ni Mungiki wewe, hilo jeshi lenu limekusaidia nini? Mbona unasahau matatizo yenu?.
  2. S

    Most Powerful Militaries in Africa

    Sisi hatuna ukabila kama wa kwenu, uliwahi kusikia Bongo tunachaguana kikabila kama ninyi??!.
  3. S

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Israel ni Taifa teule la Mungu, imeandikwa atakayeibariki atabarikiwa na atakaye ilaani atalaaniwa. Hayo mengine tumwachie Caesar
  4. S

    huyu ndie mwenye karata ya kuiangusha CCM 2015 kwa kila namna

    Lowasa ana wakati mgumu sana ili kuwafanya raia wamwelewe kama hakuhusika na kashfa ya Richmond. Ikulu kuna nini hasa mpaka mtu apasake kwa nguvu kama anavyofanya Lowasa??.
  5. S

    Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    Kweli Lowasa angefaa lakini kuna jambo linalonipa wasi wasi nalo ni hili: Pesa anazotoa ktk Harambee anazitoa wapi?? Pia anategemea kuzirejesha kupitia njia ipi?.
  6. S

    Marehemu Dr. Mgimwa alikuwa ni kiongozi asiyependa kujilimbikizia mali, hapa ndipo nyumbani kwake

    Kutokana na mazoea yaliyojengeka vichwani mwa Watanzania wengi kwamba ukipewa uongozi ni sawa na kupewa Funguo za Strong room ya Benki kuu ndio sababu watu hamuamini kama hapo ndo kwa marehemu Mgimwaa. Binafsi nimekubali kuwa bado wapo viongozi wazuri Serikalini
  7. S

    Mlioshangaa makazi ya hayati Waziri wa Fedha haya njoo mstaajabu ya IGP Mangu

    Si kila makofi anayopigiwa mtu inamaanisha amekubalika, wapiga makofi wengine ni wanafiki na wazandiki. Jambo la maana ni utendaji mzuri wa kazi hayo maisha yake hayatuhusu saaana!
Back
Top Bottom