Search results

  1. D

    Siku kuu ya Eid: Uganda waombea amani, Tanzania wasisitiza amani.Wanasiasa zibueni masikio

    Siku kuu ya Eid imeenda vizuri huku wakristo Uganda wakifanya ibada maalum kuombea amani nchini mwaokufuatia purukushani za kisiasa zilizojiri .... Upande mwingine Sala ya Eid iliyofanyika hapa Tz ujumbe wake mkubwa ulikuwa amani. Wanasiasa wetu hasa wenye dola, polisi, jeshi, mahakama...
  2. D

    Tunahitaji wakina Nape Nnauye 1,000 ili CCM ikae sawa

    Upo usemi kuwa dawa nzuri ni chungu.Pi eti watawala hupenda kutawala vwananchi wajinga.Kwa Afrika hii ni kwaida sana hasa pale ambapo mtu huingia madarakani akiwa amezungukwa na wapambe kibao sasa ili waambulie ukoko wanafanya kazi ya kumjaza sifa usiku na mchana.....This is lack of patriotism...
  3. D

    Zijue sababu zinazoutafuna upinzani Tanzania

    1.Hujuma..(sabotage.) 2.Mapandikizi 3.Chamadola. 4.Kukosa mikakati-(strategy.) 5.Ubinafsi. 6.Uroho wa madaraka. 7.Mapungufu ya kikatiba. 8.Kukosa falsafa.(political philosophy/ideology). 9.Kukosa mbinu na taratibu za usuluhishi wa migogoro.(poor reconciliation tech.). 10.Umoja na mshikamano...
Back
Top Bottom