Ukweli ni kuwa sote tunaopumua ni viumbe hai ila mwanadamu ni level nyingine Yesu anasema katika kitabu cha
Luka 12:6S hore watano huuzwa kwa sarafu mbili za thamani ndogo, sivyo? Na bado Mungu hamsahau hata mmoja. 7 Lakini hata nywele zote za vichwa vyenu zimehesabiwa. Msiogope; ninyi ni...
Ukweli ni kuwa sote tunaopumua ni viumbe hai ila mwanadamu ni level nyingine Yesu anasema katika kitabu cha
Luka 12:6S hore watano huuzwa kwa sarafu mbili za thamani ndogo, sivyo? Na bado Mungu hamsahau hata mmoja. 7 Lakini hata nywele zote za vichwa vyenu zimehesabiwa. Msiogope; ninyi ni...
Zaburi 73:17 ukianzia mstari wa kwanza kabisa utaona mtazamo wa Daudi juu ya hatma ya wenye kiburi aliielewa vema pale alipoamua nanukuu
17 "Mpaka nilipoingia mahali patakatifu pa Mungu penye utukufu, Nami nikatambua wakati wao ujao. " Kuna mambo hutayajua mpaka umeamua kuyajua ila ukibaki na...
Mtoa mada kaweka maandiko hapo ili kuhalalisha hoja zake ila turudi kwenye jambo moja. Katika Biblia kuna waandishi waliandika mitazamo yao na sio Neno kutoka kwa Mungu moja kwa moja bali ni mitazamo tu. Mfano Kitabu cha Mhubiri ni hekima za Suleimani na mitazamo yake mfano kila kitu kakiita...
Katika kipindi cha Elisha kulikuwa na wenye ukoma wengi katika Israel ila ni Naamani pekee aliyetakaswa wakoma wengi walikufa na ukoma wao kwa hiyo imani yako ndio itakayokuponya au kukuangamiza. Haijalishi unaamini life after or not you can not change the reality of life after death.
Maisha ya mwalimu yanakuwa magumu kwa sababu ndio mfanyakazi anayefanya kazi mbili kwa wakati mmoja za ofisini ie. Kuandaa somo na field ie. Darasani hapohapo mshahara huohuo avae, ale, asafiri, alipie watoto ada na kama hana nyumba alipe pango asaidie ndugu kama anao n.k. Si kama kada nyingine...
Kuongezeka kwa uovu upendo wa wengi utapoa. Leo hii unamsaidia mtu kisha anakudhuru. Wengi wanaingia makanisani kuomba msaada ni matapeli. Kuna mmoja alijiita mchungaji kabisa akaomba msaada nikamsaidia nikampa namba za simu akifika huko aendako anijuze tumshukuru Mungu kumbe anapita anakusanya...
Hili liko kimaandiko kukatwa kwa mtini mzabibu ulimea na kustawi ila ipo siku utastawi tena. Wayahudi wanaonea Wakristo wivu baada ya wao kuukataa wokovu. Ila wakati wao kupandwa tena uko mlango.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.