Search results

  1. N

    Mama anataka mume tajiri, baba anataka mume msomi nipo dilema

    Asalaam alaykum wana jamii nipo kwenye wakati mgumu wa maisha nashindwa kuamua, mimi ni msomi wa shahada mbili sasa na nina miaka 30, naitaji kuolewa na kuwa na watoto na familia shida yangu ni kwamba kila ninapopeleka mwanaume nyumbani anakasoro, nakumbuka mwaka 2003 nilimpata kijana mmoja...
  2. N

    Jamani nisaidieni

    jamani nisaidieni, mimi ni mdada mwenye miaka ishirini na nne ambaye nina mahusiano na mkaka mmoja kwa miaka sasa ni miwili hivi. tatizo langu ni kwamba huyo kaka alikuwa na mke na akanambia ana watoto wawili ila aliwazaa nje ya ndowa kwani mkewe alikuwa na matatizo ya kizazi hawezi kupevua...
Back
Top Bottom