Ninasikitika kuwa maafisa wa elimu wote wa manispaa ya Bukoba idara ya shule za msingi wana kiwango cha elimu ya diplama na wengine cheti, wakati wapo walimu tele walio na elimu kiwango cha degree 1 hadi 2 na wana uwezo mzuri wa kuongoza na kuboresha elimu lakini hawapewi nafasi hizo, na mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.