Search results

  1. RADIKALI

    JK UMEYASIKIA YA M7? M7 asafiri kwa 'economy class'

    Kampala — President Yoweri Museveni flew back home from the US on Saturday night on a commercial airliner in the economy class. According to Tamale Mirundi, the president's spokesman, Museveni's decision to fly on a British Airways flight in economy class was a signal to the Government officials...
  2. RADIKALI

    Tanzanian emcee in BET Hip Hop Awards

    Gsan yuko hapo akiongea najamaa wote walioshoot hiyo video kongoli hapo chini http://www.bet.com/Specials/hiphopawards09/hha09_videos/hha09_video_cypher.htm?playlist=HHA_The_Cypher_&videoindex=1&Referrer=%7B6F68F581-D342-4E3E-9B14-12EBB84CE39C%7D
  3. RADIKALI

    Msaidizi wa Spika na Masurufu ya Millioni 70

    acheni majungu ufisadi wake ni nini ?labda wewe hujui maana ya ufisadi.kwanza 6 hapewi pesa mkononi pili inasemekana ni wahasibu na msaidizi wake ndio wanaopanga gharama za kusafiri,na sio 6 sasa iwaje yeye ndie fisadi ?yeye anachojua ni kupanda ndege na kwenda...
  4. RADIKALI

    Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

    moderator moderator !!! stop stop haya mambo ya kuruhusu watu wa kawaida wanawekwa humu jamvini sio vizuri,unaanzisha hii forum iwe kama THE UTAMU na mwishoe ije ifungwe jaribu kutoa pumba hizi
  5. RADIKALI

    Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

    Jamaa hajibu kabisa Kitu anacheza Reggae
  6. RADIKALI

    Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

    Jamani tuliosafiri kidogo nje ya nchi, tuangalie wapi ? ama tusikilze radio gani Live ?
  7. RADIKALI

    Mtoto wa Rais Kikwete mlinzi wa mali za UVCCM

    MTOTO wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete amepewa wadhifa nyeti ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), mali na miradi yote ya umoja huo zitakuwa chini yake. Ridhiwan amepewa nafasi hiyo wakati baba yake akiwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, huku UVCCM yenyewe, ikiwa katika...
  8. RADIKALI

    Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

    Aibu tupu Ikulu,Ingoja wasome hii kitu labda akili zitawakaa sawa,Kwa huo upuuzi wa kutumia Yahoo.Kuna watu kesho watakua wana Password ya upuuzi.kuna watu wanajua kuichezea http://www.cl.cam.ac.uk/~rnc1/brute.html
  9. RADIKALI

    Mengi na Makamanda wa Ufisadi kutua Nzega J'mos Hii

    Lol, Kama mimi ndiye huyo M-bongo,Sirudi tena humu jamvini. kwi kwi kwi kwi
  10. RADIKALI

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    upupu kwako kwa wengine ni swala la kujiuliza, wewe kama shule haijatulia meza chill pill.kubwa jitu
  11. RADIKALI

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    mkuu,nashukuru kwa points zako,naomba nikukumbushe pale pale c.c.m ni upuuzi zi haina kitu chochote zaidi ya ufisadi .ila wewe unategemea nini kutoka chama kingine ?ukizangatia most of them watoka c.c.m yani unategemea wao ndio wachukia hongo ? na ufisadi ?
  12. RADIKALI

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Ni n kweli kwenye swala la breaking News nimechemka na ninaomba radhi saana wana Jf na baada ya hapo nasubiri nijibiwe maana mpaka sasa watu wanazungumzia tu breaking News na sio jibu ninalo lihitaji ama majadiliano ninayotaka kuyajua . swali ni kwamba unategemea...
  13. RADIKALI

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Nikweli nimeulizwa na nilikosea kuweka kama ni breaking News niwieni radhi, ila swali limebaki pale pale
  14. RADIKALI

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    wewe solomon natamani niiingie kwenye hii pc nije nikupe shule kidogo ya mabo haya ama yani mjadala mzima labda utanielewa nakupatia tena swali langu.na ni hili UNATEGEMEA NINI CHAMA KINGINE KIKIWA KWENYE POWER? TUNAJUA CCM IMESHA MESS UP SASA TUELEZE SIO ULETE...
  15. RADIKALI

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Mimi siko ccm wala chama chochote hapa bongo maana vyama vyote kamba tu, mim nina kazi yangu professional, swali linarudi pale pale unategemea nini ? ama mabadiliko gani ? wakati ukizangatia wengi wa hao hao wanaotaka kutuongoza hata pesa ya kuwapeleka watoto...
  16. RADIKALI

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    una points zako mkuu, ila hujajibu unategemea nini ?kutoka hao wengine wakichukua nchi ?
  17. RADIKALI

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Swala sio kushabikia chama chochote mimi siko c.c.m ama chama chochote. hebu nieleze wewe unachojua swala langu hapo ni kwamba unategemea nini chama kingine kikiingia madarakani ? RK
  18. RADIKALI

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    huna shule wewee kaaaa chonjo
  19. RADIKALI

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Habari zenu waungwana wa jf ,mimi nimekua nikiangalia mIjadala kibao ya siasa humu ndani lakini bado najiuliza swali moja gumu sana. Na swali lenyewe ni kwamba hivi kweli watu wote humu ndani mnaamini kwamba chadema ama chama kingingine chochote kkikiingia madarakani basi wizi ufifadi utaisha ...
  20. RADIKALI

    Je Zitto Amepoteza Uhalali wa kuwa Kiongozi?

    Zitto akiwa RAISI BASI MAMA YAKE ATAPEWA U BALALI (GAVANA WA BOT) ULAJI UNAENDELEA PALE PALE KAMA CHI CHI EM. MAISHA HAYA NI KUFANYA KAZI SIASA POROJO TUPU
Back
Top Bottom