Search results

  1. Pius J. Kiwarya Lema

    Pasaka wa BWANA amekwishatolewa!

    YESU KRISTO wa Bibilia amefufuka Kweli kweli Haleluya ;Tuendelee Kumfuta na Kumuamini aliye chanzo na asili ya Uhai wa Mwanadamu,;
  2. Pius J. Kiwarya Lema

    Ushoga Afrika: Tamaduni zinahifadhiwa wapi?

    . Hili ni Jambo la kiroho zaidi linapaswa kujibiwa hivyo kuwa ni dhambi. likikuwepo duniani lipo na litakiwepo mpaka Mwisho wà Ukimwengu Kwa maoni yàngu viongozi wasilikemea Jambo hili la kishetani Kwa kuzungukazunguka! m
  3. Pius J. Kiwarya Lema

    Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

    Kwa maoni yangu Yuko sahihi kabisa. Katika hilo sio mnafiki.Wengi mnadanganywa kuwa tofauti ni lugha tu. Ukweli hakuchaguliwa kwa sababu ya lmani yake! Anajua mungu Alleiker ) ni tofauti na Mungu wa utatu. Kwa hiyo yeyote anayefanya kinyume na lmani yake ,pasipo kujali cheo na nafasi yaje ni...
  4. Pius J. Kiwarya Lema

    Uchaguzi 2020 NEC: Inawezekana wapiga kura hawajui wana haki ya kuomba karatasi nyingine ya kupigia kura endapo itatokea kwa bahati mbaya amekosea

    Hapa wangefafanua Mazingura ya kubadili mawazo sababu: Haiwezekani mtu umepiga kura kabla hujatumbukiza na hujaiaribu kwa lolote ; kabla hujaitumbukiza ukabadili mawazo; halafu upewe karatasi nyingine !! Ina.maana alishirurushwa !
  5. Pius J. Kiwarya Lema

    Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

    Kwa hiyo Mtumishi jina la Rashid bado unalo siyo ? Ubatizo wako una maana gani leo kama mtu wa kale bado unaendelea kumtambua na kumtumia kuombea kura? Sisi Tunashirikiana na tunasaidiana sio kwa sababu ya lmani zetu; bali kwa ubinadamu na utu wetu. Kwa Maoni yangu Bado Haujawekwa Huru; wala...
  6. Pius J. Kiwarya Lema

    Uchaguzi 2020 Kawe: Halima Mdee alalamikiwa kukiuka maadili ya uchaguzi kwa kutumia lugha ya matusi na kashfa

    Kwa Maoni yangu . Huyu mtu aliyemshauri kupeleka malalamiko haya; hana tofauti na yule aliyemshauri aende kwa. Baba Askofu Pengo kuomba msamaha kwa ajili ya kutafuta kura tu .Hata kama Mh Halima atapewa adhabu kusimamisha kampeni lakini Gwajma atapoteza zaidi. Anayejua siasa anampoteza...
  7. Pius J. Kiwarya Lema

    Wakati tunajiandaa na Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020: Tanzania yaongoza Afrika usambazaji umeme Vijijini

    Kwa Maoni yangu Kisiasa Duniani kote Mgombea hashindi kwa sababu ameleta Maendeleo;; Ndio maana Ccm imekuwa inashinda huko nyuma; sio kwa sababu ya Maendeleo bali ikikuwa inatafuta kura MTU anayejitambua. Hata ungenunua kivuko au meli: Lakini ukagusa uhuru na utu wake ; "umempoteza " !!
  8. Pius J. Kiwarya Lema

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, huku ni kutafuta wadhamini au ni kampeni?

    Kwa Maoni yangu Mpaka sasa hakuna Mgombea aliyeidhinishwa na Tume, Kwa hiyo Hakuna Kampeni. Kinachofanyika sasa ni kuomba Watu wakudhamini ugombee. Unapoomba udhamini ni lazima ujieleze kwa ufupi kuonyesha Mtazamo wako kiujumla. Haya unaweza kuyafanya kwa wazi au kwa kificho.itategemea njia...
  9. Pius J. Kiwarya Lema

    Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

    Hujiulizi kwa nini mpaka sasa majina hayajatoka ? Wakipigwa chini unapata faida gani ? Ambayo huna ?
  10. Pius J. Kiwarya Lema

    Uchaguzi 2020 Sababu 11 kwanini Lissu atapata ushindi wa asilimia ndogo kuliko wote tangu 1995

    Kwa Maoni yangu Kila chama (Ccm na Chadema) kinapaswa kutafuta kura zao (walizopata na walizopoteza ) 2015 ziliko ! Hiki ndicho kipimo halisi cha kuanzia. Niinavyo 2020 Act inachoweza ni kupunguza kura za ccm kupitia Wana ccm Wanaopenda Bernard na. Wapizani Wanaopenda Zitto lakini 2015...
  11. Pius J. Kiwarya Lema

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi Tanzania 2020: Kwanini kumekuwa na ugumu wa ushirikiano wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

    Kwa Maoni yangu Kila chama (Ccm na Chadema) kinapaswa kutafuta kura zao (walizopata na walizopoteza ) 2015 ziliko ! Hiki ndicho kipimo halisi cha kuanzia. Niinavyo 2020 Act inachoweza ni kupunguza kura za ccm kupitia Wana ccm Wanaopenda Bernard na. Wapizani Wanaopenda Zitto lakini 2015...
  12. Pius J. Kiwarya Lema

    Uchaguzi 2020 John John Mnyika kutogombea ubunge mwaka huu 2020

    Kwa,Maoni yangu ; Hata kama kuna sababu nyingine ;Lakini Kwa nafasi yako Huu ni uamuzi wa maana sana : Huwezi kuratibu Uchaguzi Nchi nzima wakati wewe unagombea ;;Yaani hapo sasa ndio mnajipanga vizuri! Barikiwa tena
  13. Pius J. Kiwarya Lema

    Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

    Jiulize kwanza kura 8m za Magufuli 2015 sl(Siyo ccm} zilitokana na nani na ziko wapi ? Wagawe watawale sasa itahamia ccm ; wanaomkubali Membe wako ccm nadhani watampa; na wapinzani wale wanaliompigia kura Magufuli kwa hasira ya Lowasaa kumkosa Dr slaa na Lipumba watampa; Kwa hiyo Mchuano utakuwa...
  14. Pius J. Kiwarya Lema

  15. Pius J. Kiwarya Lema

    Pongezi Dkt. Magufuli kutenganisha shughuli za Chama na Serikali, Utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa!

    Kaka Paskal ; Yaani Kila Kitu ni kutaka Kiwe sifa.Hata mtu kutimiza wajibu au kutii sheria ni sifa ! Kwani aliyemzuia nani ? Mbona Mengine yasiyofaa hamsemi kuwa hajatimiza wajibu au kufuta sheria.Msimpunguzie mtu hata wale wachache wanaofikiri kumuunga mkono kwa mambo ya mepesi. Tutafute sifa...
  16. Pius J. Kiwarya Lema

    Mwalimu Mwakasege: Dalili za Corona ni zile zile za magonjwa mengine tofauti yake Covid 19 imejaa Hofu kuu inayofanya wasio jasiri wajifiche

    Mleta.mada hujaelewa msingi wa Hofu aliyofundisha invyofanya kazi. Acha kumuwekea maneno Mtumishi Mwl Mwakasege. Hakuna.mahali ameunga mkono hofu za wanasiasa unaowataja. Amesisitiza kufuata maelekezo na kuchukua taadhari zote zinazotolewa na na wataalamu wa afya; pamoja Viongozi wa serikali ...
  17. Pius J. Kiwarya Lema

  18. Pius J. Kiwarya Lema

    Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

    Ni kweli wanao mbali kwa sababu ya matumbo yao! Kitu ambacho unatamani kitokee kwako. Usichoelewa ni kuwa Viongozi hawashindi uchaguzi bali wananchi ndio wanashinda uchaguzi pale tunapompata kiongozi anayewakilisha matakwa yetu. Kwa maoni yangu .Kwangu mimi haujawahi anayechukia Rushwa na...
  19. Pius J. Kiwarya Lema

    TV Program Alert: Msidanywe na Wanasiasa Kuhusu Uchaguzi Mkuu: Ulikuwa Huru na wa Haki!. Shuhudia!

    Wizi wa kura ni mchakato kama ilivyo Uchaguzi wenyewe, Kuanzia Kauli, vitisho kwa wahusika matamko, ,sheria na kanuni zake mbovu, Usawa wa kujieleza kuwafikia wapiga kura (Media) n.k Kama hujawahi kugombea huwezi kujua kura zinaobiwaje ; fomu ni matokeo tu. ! Bakia na makala tu . Sent using...
Back
Top Bottom