Search results

  1. E

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    nimesoma thread ya the rise and fall kuhusu mrema.mimi binafsi nadhani mrema alipinga ufisadi kwa nguvu zake zote na ndio chanzo kikubwa kilichomuondoa ccm.ni mwanasiasa makini,jasiri na shujaa kwa watanzania.hatutakuja pata mwanasiasa kama yeye.ccm ilimuogopa sana na alikua tishio kwao ndio...
  2. E

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    huyo mzee hakuangakuka wala kuisha kisiasa.ni njama nyingi zinatumiwa na ccm kuwaangusha wapinzani.chama chochote cha upinzani kikiwa na nguvu migogoro huanza.angalia chadema sasa na cuf.mrema hakuwa fisadi na angekuwa fisadi nauhakika angebaki ccm.watu wengi hawakumbuki mema aliyofanya na...
  3. E

    Mafisadi wana Hela kuliko wadhamini wa NCHI

    je kweli tanzania inaelekea wapi?mafisadi ndio wakuu wa nchi.serikali nayo inawalinda..sasa hivi madhamini wengi wanajitoa kwenye udhamini wa nchi kwa mambo mawili.kwanza fedha zitaibiwa au kuchukuliwa na mafisadi.pili kwa sasa wanaamini kuwa hawa mafisadi wana fedha nyingi kuliko wao..kwa sasa...
Back
Top Bottom