Search results

  1. Hitesh Divecha

    Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere Hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

    Ange goma kuwapa mradi na fedhs alikuwa mzee wa Mipango wakati ule
  2. Hitesh Divecha

    Kiama chaja: Bomoabomoa ya kufa mtu kuikumba nchi nzima! Ni kwa waliojenga bila vibali

    Safi Sana tena Bomoa Bomoa ianze Mjini. Watu wame Jenga Holela . Uta kuta mtu kajenga kwenye Mlango wa Dharura pia . Kigezo ana sema amepewa kibali ana ziba mlango wa dharura Eti tumia mlango ...Iliyopo Na Ya Dharura ana weka kioski au kufanyia biashara ... Haswa Kariakoo majengo yote kingilio...
  3. Hitesh Divecha

    Kiama chaja: Bomoabomoa ya kufa mtu kuikumba nchi nzima! Ni kwa waliojenga bila vibali

    safi sana tena wa anze na Majengo Ya Mjini yame jengwa holela hakuna safe pasaage Serikali imewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa Ardhi, Maafisa Ujenzi na Maafisa Mipangomiji kuweka alama za X na kuvunja majengo yote yanayojengwa katika miji yao bila kibali na yale yanayojengwa katika...
  4. Hitesh Divecha

    Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    wafukuzwe wote.......walipe nani hii posho wakati wana lipwa mishahara .....na matupurupu zote mafuta , magari na hoteli......kwani wana enda kujadili nini zaidi ya yalioyo sya pangwa............miposho in maliza nchi....
  5. Hitesh Divecha

    Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    eheeee wabongo nyiye basi muwe veji nyote amani kwa wanyama na amani kwa dinii .........hii ndiyo suluhisho. badala kukaa na kufikiria mambooo muhimu ya kiuchumi mna gombana kwa ajili ya kuchinjaa ... kweli hamuna kazi.......
  6. Hitesh Divecha

    Wabunge 47 wajiunga mafunzo JKT ni kutoka CCM; CHADEMA na NCCR-MAGEUZI

    safi sana na mfano kwa vijana wote kuiga mfano. viongozi hao ni viongozi na wame jitolea kujenga taifa. mhe zito, mhe david, mhe mbowe ,mhe mdee hongera sana kwa kutoa mfano wa kuigwa . Nchi kwanza na Vyama badaye. wana elewa kabisa kwamba sasa wana kwenda kumtii amri jeshi mkuu yana his...
  7. Hitesh Divecha

    Village land act 1999

    Asanteni Sana Na mie nime pata shida ya ghafla kutaka Village Land Act Jami forum Hitesh Divecha
Back
Top Bottom