Search results

  1. P

    Kwanini ccm hawataki kukiri udhaifu

    Hali ya kisiasa inayoendelea nchini inajidhihirizha wazi kwamba ccm wako taabani kisiasa na wanachokifanya ni kujikaza kisabuni, sasa niwazi maandalizi yakuletwa kwa magari mengi yakipolisi niushahidi tosha kwamba ccm wataponea huruma za polisi ili wafunge GOLI LAO LAMKONO.. Lakin bila hivyo...
  2. P

    Kwanini ccm hawataki kukiri udhaifu

    Hali ya kisiasa inayoendelea nchini inajidhihirizha wazi kwamba ccm wako taabani kisiasa na wanachokifanya ni kujikaza kisabuni
  3. P

    Ratiba ya kutoa heshima za mwisho kwa mkuu wa chuo kikuu-udsm

    Siku ya alhamisi kuanzia saa saba mchana itakuwa siku rasmi kwa wadau,wanazuoni,wanafunzi , ndugu na jamaa wote kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mkuu wa chuo kikuu cha dar es salaam,prof.fulgence kazaura. Shughuli hiyo itafanyika ktk ukumbi wa nkrumah uliopo chuoni hapo. Mungu...
  4. P

    Ratiba kutoa heshima za mwisho kwa mkuu wa chuo udsm

    Mwili wa aliyekuwa mkuu wa chuo kikuu cha dar es salaam aliyefariki siku ya jumamosi huko india umewasili rasmi leo tarehe 25 february. Shughuli za kutoa heshima za mwisho kwa wanazuoni,wanataaluma wote,wanafunzi, ndugu,jamaa na wadau wote zitafanyika Siku ya Alhamisi ktk ukumbi wa nkrumah...
  5. P

    Madaraja mapya ya ufaulu secondari-malumbano ya hoja yanaendelea itv hivi sasa

    Hii big results now nadhani inapeleka kuua elimu yetu. Mawazo yangu nadhani serikali imepanua magoli ili ije ionekane imefanikisha hiyo big bresults now kwakuwafaulisha vijana kwa madaraja ya ajabu ajabu.hainiingii akilini kusema eti wanafanya majaribio kwa muda wamiaka minne, maana yake ni...
Back
Top Bottom