Search results

  1. Heaven Sent

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Asavali nilale. Maana angekuwepo; hakuna nyimbo yake ninayoipenda kama "Kazi ya Mungu Haingiliwi"
  2. Heaven Sent

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Nifanye hamsini zangu; nisijikondeshe bure Malipo ni kwa Manani kwa yote ya walimwengu, nisijitie kiwewe
  3. Heaven Sent

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Aunt juju; Khadija Yusuph hayupo?
  4. Heaven Sent

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Najua hii ndo dunia, dunia rangi rangiree Na watu kwenye dunia, aso hili ana lileeee Lolote lile watakutafutia, ili upate upige kelele Mie mdomo sitaufungua, ndo kawaida yangu milele
  5. Heaven Sent

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Hahaha sio kazi rahisi kabisa
  6. Heaven Sent

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mimi nimeona pozi na locations zake. Kwaherini maharamia nyie kabla sijapigwa kitofa na mods🤣🤣
  7. Heaven Sent

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Nimepita tu kusalimia; kabla sijaishia kuunganishwa na maharamia🤣🤣🤣 Happy New year ❤️❤️❤️
  8. Heaven Sent

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Ewaa sio ndoa za kutoana roho; hapana. Msalimie sana G
  9. Heaven Sent

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Saint Anne njoo uone; mmoja wa wahaini wa Selfika ameachiwa huru🤣🤣🤣
  10. Heaven Sent

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Morning Poker
  11. Heaven Sent

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Napenda ndoa "nzuri". A big AMEN🤣🤣🤣🤣🤣
  12. Heaven Sent

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Ooh wao sio mifano mizuri ya ndoa maybe; but haimaanishi kuwa ndoa ni kitu kibaya. Na Kila mtu ana deal breaker yake. Kama walikoseana hadi kupeana Ukimwi lakini wakaamua kusameheana; good for them. Wapo watu wengi tu ambao wana ndoa nzuri na sio kwamba ni 2 perfect people; as long as wao...
  13. Heaven Sent

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Mmh kwa hiyo walipeana talaka na mama Karen ndiyo akaenda kufunga ndoa na Jide au? C.c Topetopeni
  14. Heaven Sent

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Ooh nashukuru sana. Maana nilikuwa nahisi kama hawakufunga ndoa; sasa comments za waja zinadai ni kama walifunga
  15. Heaven Sent

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Samahani lakini; hivi Gardner alifanikiwa kufunga ndoa na mama Karen au walizaa tu mtoto?
  16. Heaven Sent

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    I know a lot of people ambao wanatumia "dozi" na wamefanikiwa kuishi miaka mingi tu. Na ukiwa muathirika haimaanishi kwamba ukifa tu basi ndiyo HIV imekuua. Kwa umri wangu huu niliyofanikiwa kuishi; nimekuja kugundua kitu kimoja (majority cases). Baba anapata nguvu kwa mama/mkewe; na mke...
  17. Heaven Sent

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Na fact ni kwamba kifo ndiyo kilichowatenganisha as per their vows. Ndoa ilikuwa muhimu sana kwao hadi mauti. No kataa ndoa hapo
  18. Heaven Sent

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Mnapendaga kujustify ujinga. Wote hao hawakuwa kataa ndoa; na katika wote hao hakuna mtu ambaye alii-honor ndoa yake kama Kibonde. Kibonde ambaye baada ya mkewe kufariki alishindwa kukaa kwenye nyumba yake mwenyewe; akawabeba na watoto wake wakahamia kwa wazazi wake sijui. Unaweza ukaimagine...
  19. Heaven Sent

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Wanastahili heshima na appreciation kubwa sana. Roles wanazoplay kwenye maisha yetu na watoto wetu; daah Mungu awabariki wadada wote wanaotunza familia zetu kwa uaminifu na upendo. Na atusaidie na sisi tusikose fadhila juu yao.
Back
Top Bottom