Search results

  1. Lyambasa

    Nina changamoto ya gari kuwaka kwa shida

    Nina changamoto ya gari kuwaka kwa shida, nimebadili spark plug, fuel pump na petrol filter pasipo mafanikio.. Naomba ushauri nipate pa kuanzia. Gari ni Suzuki Escudo old model.
  2. Lyambasa

    Msaada: Injini imejamu ghafla

    Wadau nina gari aina ya Suzuki Escudo, tulibadilisha slinder head gasket baada ya gari kugoma kuwaka na kuchanganya maji. Sasa injini haizunguki kabisa ijapokuwa mwanzoni iliwaka kwa kumiss sana. Maoni yenu wadau.
  3. Lyambasa

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gari yangu haitulii barabarani hasa inapofika spidi 40 kwenye lami,na 60 kwenye changarawe,while allignment nimefanya,upepo huwa napima mara Kwa mara.Ushauri wenu tafadhali.Ni Suzuki old model.
  4. Lyambasa

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gari kunywa mafuta na kutoa moshi mweupe,nianzie wapi?
  5. Lyambasa

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gari haina misfire,engine inavuta Vizuri,TATIZO utumiaji wake wa mafuta upo juu Sana yaani km 5 per litre.Mafundi wananiambia tatizo Ni control box.Je wapo sawa.Ni Suzuki escudo old model CC 1590.
  6. Lyambasa

    Suzuki yangu pasua kichwa

    Wadau mnanitisha sana.Nashukuru kwa michango yenu.Kwa sisi vijijini tufanyeje sasa.
  7. Lyambasa

    Suzuki yangu pasua kichwa

    Hapana,mara nyingi huwa naongeza coolant kwenye reserve tank.Mkuu vipi kuhusu kupasuka kwa pipe ya return kunasababishwa na nini?
  8. Lyambasa

    Suzuki yangu pasua kichwa

    Ahsante kiongozi. Tatizo la kula mafuta nini utatuzi wake.
  9. Lyambasa

    Suzuki yangu pasua kichwa

    Ahsante kiongozi, Mimi suala la gari kula mafuta tatizo ni mini kiongozi?
  10. Lyambasa

    Suzuki yangu pasua kichwa

    Wadau poleni na majukumu.Nina Suzuki Escudo Cc 1590.Matatizo ya gari hii yananichanganya Sana.Kwanza gari inachemsha Sana,Haina nguvu na Sasa inakula mafuta balaa Lita moja kwa km 2. Pia Sasa imeanza mchezo wa kupasua pipe ya return Cha ajabu hata ukiwasha na kubaki silence tatizo bado...
  11. Lyambasa

    Suzuki escudo inakula mafuta sana

    Naomba namba ya huyo fundi.
  12. Lyambasa

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Nimetest spark plag mbili kwenye gari hazichomi,nikatest na nozeli mbili za plag hizo hazifanyi kazi pia.Swali he hii linaweza kuwa tatizo la ulaji wa mafuta kiongozi?
  13. Lyambasa

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Tatizo lilianza pole pole ambapo pia lilipelekea pia kupasuka flau wheel tukabadirisha.Mechanically hatukujua chanzo cha flau wheel kupasuka kwa kiasi kikubwa.Cha msingi tatizo hili halijatokea ghafla.
  14. Lyambasa

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu Nina Suzuki escudo cc 1590. -RPM 4500 speed 60. -Gari haina nguvu. -Mafuta Lita moja km 5, -Gari haina silence na muungurumo in mkubwa.Naomba ushauri mahali pa kuanzia ninapoenda kwa fundi.
  15. Lyambasa

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nina Suzuki Escudo old.Changamoto zake. -RPM 4500 lakini speed 60 -Gari Ni nzito na haikamati silence. -Mafuta km 5 kwa lots -Mafundi wanasema engine oil ni tatizo,na gear box oil pia.Naomba mnaomiliki gari hizi mnisaidie pa kuanzia,gari ni automatic.
  16. Lyambasa

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Suzuki escudo,oil level ipo sawa.Ushauri wako nitaufanyia kazi mkuu.
Back
Top Bottom