Search results

  1. peche luke

    Kwa nini Mzee wa upako unavaa mipete ya ajabu?

    Na hapo ndio wengine tunasema mtawajua kwa matendo yao. Kwake yeye mvua ni kwa kilimo na wakulima tu. Hekima itokayo kwa Mungu iwapi hapa?
  2. peche luke

    Kwa nini Mzee wa upako unavaa mipete ya ajabu?

    Wakati wa Bwana YESU kusulubiwa pale msalabani wale askari waligawana mavazi yake wakayapigia kura kila mtu atwae nini ? Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Mtumishi wa Mungu anaishi maisha ya kifahari sana kupitia sadaka, wakati huohuo kuna maskini, yatima, wajane, wagonjwa wenyenye...
  3. peche luke

    Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    Ni kweli mkuu ni Mungu. Kwa kumtumia/kupitia nani hapa Duniani?
  4. peche luke

    Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    Hapa na andika mkuu, maandiko yenyewe ndio haya, tafakari chukua hatua.Hivi muasisi wa dhehebu la kisabato ni nani?
  5. peche luke

    Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    Hiyo Mungu wangu Mungu wangu alisema kwa kunong'ona au kwa kupaza sauti?
  6. peche luke

    Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    Huja nielewa mkuu kumsifu Mungu kwa kucheza na kuimba hiyo iko Kibiblia haikwepeke na wala haiepukiki. Biblia imenda mbali imetaja vyombo vya muziki/ala . Sasa mtu mwenye ufinyu wa mawazo atakuambia zeze sio gitaa., matari sio ngoma na mdundo wake ni tofauti. Au niseme hivi kinanda...
  7. peche luke

    Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    Kunena kwa lugha hii ni Roho Mtakatifu ambaye ni msaidizi YESU aliye waahidi kuwaletea wanafunzi wake baada ya yeye kuondoka na kupaa mbinguni. Eloi Eloi pale msalabani ilikuwa nini? Maana hakika BWANA YESU alipaza sauti.
  8. peche luke

    Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    Kwa haya maswali yako inaonyesha kuwa umeelewa. Msifuni BWANA kwa matari na kucheza. Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya! Nimeipenda sana hii. Angalizo lusifa kabla ya kuasi huko mbinguni alikuwa kwaya masta. Ndio maana muziki wa kidunia umeshamiri na una nguvu sana kuwa potosha...
  9. peche luke

    Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    Mleta maada inawezekana kabisa wewe ni msabato au unaujua usabato vizuri. Na kuuliza maswali ya fuatayo; Wasabato wana Biblia tofauti na wakristu wengine. Je Biblia ya kisabato ina kitabu cha zaburi? Kama inakitabu cha zaburi hebu soma zaburi 150. Huo utukufu na sifa za Mungu...
  10. peche luke

    Kikwete: Nisingepewa Elimu na Kanisa ningekuwa nafanya biashara ndogondogo Chalinze!

    Mh Dr SL inaswihi kama Mh Dr JK. Sasa sera za ni wa dini yetu zimetoka wapi?
  11. peche luke

    Wananchi wa Iringa na Arusha wabunge wenu wamewafanyia nini tokea wachaguliwe?

    Eti huyu naye ni mpiga poropoganda, akili ndogo, tena zero kabisa. Marehemu mzee Paulo Sozigwa angeishi akaona hawa mufilisi sijui angesema nini.
  12. peche luke

    JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

    Sasa nimemuelewa mwandishi pale alipoandika msururu wa chakula alikuwa akimaanisha nini.
  13. peche luke

    CHADEMA Zanzibar wamtangaza mgombea ubunge Kiembe Samaki

    Kwa mujibu wa utabiri wa mtabiri cdm si ilishakufa 2013, vipi tena wasinamishe mgombea znz, labda naota.
  14. peche luke

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Mbona kuna ambao wazazi ni makuli wanawapigia mapande watoto wao wanakuwa makuli hamsemi mnakuwa kimya tu. Hii ni hulka tu ya wanadamu haiepukiki, ndio maana utaona watoto na wazazi wako katika harakati za kuusaka urais au kumuweka rais wanaye mtaka huko jamhuri ya kati.
  15. peche luke

    Warioba Anamdhalilisha Nyerere!

    Ukweli ni huu muungano ulianzishwa na kuendeshwa kimagumashi na matokeo ya kufanya mambo kimagumashi ndio tunayashudia leo.
  16. peche luke

    Zitto Kuendelea na Ziara Mikoani Kuzungumza na Wanachama na Watanzania

    Ile dhana ya nguvu ya umma ikitumika vizuri ina weza kuwa muarobaini wa hili.
  17. peche luke

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Asili ya waha ni ubishi unapoteza muda wako kumshauri huyu mh. Zamani baada ya kujua neno tireeeni wakakataa kuita gari mooshi lilotumika awali. Akiambiwa gari moshi atakuambia hapana mugabo ni tireeni. Sasa ukumbuke kuna za umeme na bullet train. Atakubali wapi tena gari moshi, usipoteze nguvu...
  18. peche luke

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Mimi nadhani alichofanya ni haki yake kabisa. Jambo la muhumi rufaa isije ikawa ya kukaa maisha haisikilizwi.
  19. peche luke

    Sitta: Marais watatu hapana, CCM iache kichwa ngumu iridhie serikali tatu

    Kwenye kuchukua na kumiliki ardhi ya Tanganyika mnaona sawa na hamuoni kuwa suala hili linatakiwa lipitishwe na blw. Ila linapokuja suala la serikali moja znz inamezwa.Nakuambieni huu ubaguzi wenu una mwisho. Kwa utaratibu huu operesheni kimbunga itadumu sana tu.
  20. peche luke

    Simama Uhesabiwe , Maneno ya Mh EL

    Hayo ni maneno ya mh EL akitoa shukurani kanisani kkkt Monduli. Kasema ni maneno anayo ya penda na yako katika Biblia Takatifu, na akawambia rafiki na jamaa zake waliofika kanisani kushiriki naye tendo la shukurani kuwa wamefanya vizuri kusimama na kuhesabiwa. Kusimama na kuhesabiwa huku ni...
Back
Top Bottom