Search results

  1. ka

    Waziri Simbachawene: Serikali haikusema itatoa ELIMU BURE, ilisema itatoa elimu bila malipo

    Haya ndiyo madhara ya matumizi mabaya ya hakiri, ukipewa kitu bila malipo na kupewa kitu hicho hicho bure, wanazuoni naomba mnipatie utofauti katika maana.
  2. ka

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Hakika nakosa la kuongea, sasa najiuliza Mh. Nnape report atakayoitoa kama itamuona Makonda ana hatia, na kwa mujibu wa nilivyomuona pale kwenye press conference kama nimemuelewa watashauri hatua za kuchukuwa, lakini mkuu kwa nguvu zake zote kamlinda mtuhumiwa, je kuna uwezekano Nnape...
  3. ka

    Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

    Kwani mahojiano ya leo yalikuwa yawe live au ya ku record, mimi sijaelewa nielewsheni maana nilishayaona kwa sehemu fupi.
  4. ka

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Sawa tu kwani Prof. Ripumba yuko wapi? So kapotea? Naye wana UKAWA watampotezea hivyo hivyo.
  5. ka

    TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    👉 Hando Hando` shauri yako mimi sikusaidii.
  6. ka

    Lowassa aendelea kuwaburuza UKAWA. Amkataa Juma Duni Haji (Mgombea Mwenza), amtaka Ismail Jussa

    Nafikiri huyu ndugu hajui haijuwi katiba ya Tanzania namshauri akaisome kisha atajigumdua namna alivyojikanyaga kifupi si Juma Duni au Jussa kwa mujibu wa katiba wote hawana sifa ya kuwa wagombe wenza mgombea mwenza anatakiwa atoke kwenye chama kilichotoa mgombea uraisi si mimi ninayesema ni...
  7. ka

    Dr. Slaa tafadhali sana baba, tumeyaona uliyoyafanya

    Watu wanakesha usiku kucha, mchana kutwa wanahoji kujificha au kisepa kwa Dr. Slaa, kwani Mnyika mbona hamuulizi aliko, maana naye haonekani au yeye hana hadhi, naye ni mpiganaji mbona mmemchunia sio vizuri, acheni hizo.
  8. ka

    Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Nendendeni mkawafanyie CCM umbea mliokuwa mnatufanyia sisi hatusikii hatuelewwi mtaji wa kura ni watu na watu wenyewe ni ndiyo hawa wanaokuja sasa mungu akupe nini usiseme Lowasa tu mseme Lembeli, Bulaya, Ole Medei na wengine kifupi hatutaki ushauri wenu kawashaurini ACT labda watawasikia sisi...
  9. ka

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Najuwa NCCR ni moja ya vyama shiriki katika UKAWA mbona Kafulira simuoni wala kumsikia? Au naye ana mpango wa kujizalendosha!
  10. ka

    Subra kidogo ingebadilisha kila kitu

    Hajafa ni mzima ingawa bado yuko Hospitari, lakini Ndugai ana kesi ya kujibu.
Back
Top Bottom