Search results

  1. M

    Kwa nini???

    Ndugu Bruce Lee alijibu vizuri. Wenye biashara hii ya mafuta wengi ni Waislamu na hivyo kwa imani yao ni thawabu kubwa kujenga msikiti sehemu ambayo kuna watu wengi, wasafiri, ili wapate sehemu ya kuswalia ikiwa ni pamoja na wao wenyewe. Na tumeambiwa hapa pia katika vituo vinavyomilikiwa na...
  2. M

    Elections 2010 Linganisha BMW Vs JK

    Waungwana, naungana nanyi mengi, ila la kulinganisha bei za 2005 na 2010 naona si sahihi kama kigezo cha kuwalinganisha viongozi hao. Definately, bei za awali kunako 1995 ni za chini kuliko za 2005, hii ina maana Mwinyi ni bora kuliko Mkapa? Ni mtazamo tu.
  3. M

    Kikwete azidiwa jukwaani, akimbizwa mapumziko

    Kikwete alikuwa na Uchovu. Habari ya mapepo kwa Rais si kweli, kwani hata jangwani alizirai, na hapakuwa na maombi pale!
Back
Top Bottom