Search results

  1. makoye2009

    Watanzania tumerogwa? Hivi kati ya pure gold na mchanga kipi kilitakiwa tukijengee hoja? tunapotezwa

    Nakubaliana na wewe kwa 100%. Kwa akili za CCM mwenge ndo kila kitu. Unamulika kuanzia wala rushwa wadogo wadogo...
  2. makoye2009

    Watanzania tumerogwa? Hivi kati ya pure gold na mchanga kipi kilitakiwa tukijengee hoja? tunapotezwa

    This is the country of Bulichekas and Gagagigikokos! Nchi ya Magwangala/Kigwangala, nchi ya Makinikia, nchi ya Mapanki(refer minofu ya Samaki)na nchi ya Viwonders!! Kweli CCM wamerogwa na aliyewaroga kesha kufa siku nyingi!!!!Tuombe Mungu atende miujiza kututoa hapa tulipo otherwise we're doomed!
  3. makoye2009

    Watanzania tumerogwa? Hivi kati ya pure gold na mchanga kipi kilitakiwa tukijengee hoja? tunapotezwa

    Return Of Undertaker, Una hoja za msingi sana. Kwa sasa mimi napita tu ntakuja kuchangia baadaye. Lakini najua Mafisiccm watakuja hapa kupinga kwa kutoa povu wakti Serikali yao ndo imetufikisha hapa kwenye Mikataba ya Madini. So sad!!!
  4. makoye2009

    Watanzania tumerogwa? Hivi kati ya pure gold na mchanga kipi kilitakiwa tukijengee hoja? tunapotezwa

    Return of Undertaker, Una hoja za msingi. Mimi ntakuja kuchangia baadae kwa sasa napita tu. Lakini najua Mafisiccm watakuja hapa kutoa povu kutokubaliana na hoja hizi wakti Serikali yao ndiyo iliyotufikisha hapa kwenye mikataba ya madini. So sad!!!
  5. makoye2009

    Kwa sababu hizi kuu, tusimlaumu Mh Rais kutokuhudhuria kuaga miili ya wanafunzi huko Arusha

    Hivipunde, Wewe unatoa maelezo ya Rais kutohudhuria mazishi ya watoto wetu kama nani? Je ,hii taarifa ni ya Ikulu, ya Msigwa au ya Lumumba?Acha kutetea ubashite wewe. Aliyekwambia watu wangezimia kwa kumwona Magufuli nnani kama so umbeya?Labda wangezimia kwa hasira walizo nazo dhidi yake jinsi...
  6. makoye2009

    Mapya yaibuka bosi UN kutimuliwa nchini Tanzania

    Wana JF, Hii ni Tanzania ya Magufuli ambayo imeshapoteza mwelekeo kwenye jukwaa la Kimataifa. Sera za CCM ya Magufuli ni uchuro na Mataifa yanaiona Tanzania kwa sasa kuwa ni tatizo katika maswala ya Utawala Bora. Serikali na Magufuli waache kuongoza nchi kiujanjaujanja kwa kuwafanya Watanzania...
  7. makoye2009

    Aliyetupa Macho asiweze kuona?

    Mhe. Godbless Lema, kwanza nikupe pole sana kwa kifungo cha miezi 4 bila hatia wala mashtaka. Pole sana. Hii ndiyo Tanzania ya Magufuli, ni vurugu, ni unyama, ni udikteta, ni uhuni na ubabe uliopitiliza. Haya matukio ni mageni sana masikioni mwa watu wa Tanzania. Sielewi huyu Rais wa CCM A5...
  8. makoye2009

    Peter Msigwa: Ujio wa Katibu UN, Rais amepoteza fursa kimataifa!

    Sio la Uchaguzi Zanzibar tu baali kuna la NJAA nchini Tanzania!! Hakika kwa sasa Tanzania tunaongozwa na Mfalme Juha Kalulu. Kwenda nje ya nchi hataki kwa kisingizio cha kuinyoosha nchi. Linaloshangaza zaidi ni pale viongozi wa Kimataifa kama KATIBU MKUU wa UN wanapofika nchini Tanzania na JPM...
  9. makoye2009

    Atakayegundulika na vyeti feki...

    If and only if Watanzania wote watakao kuwepo mwaka 2025 watakuwa na DIVISION ZERO. Otherwise ataambulia ya kwake, mkewe na wale wenye ZIRO wenzake. Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakubali aongozwe na Rais aliye feli masomo yote, yaani ALIYEZUNGUSHA, YAANI ZERO. Yule kiumbe au yule bwana...
  10. makoye2009

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Nyamtalakyono, Hivi wewe una Divison 0 ipi, ya F4 au F6.?? Mtu yeyote makini au mwenye elimu ya kusoma Saikolojia ya mtu. thread yako inaonyesha kuwa na wewe ni mmoja wa kina Daudi Bashite a.k.a Paulo Makonda na ndo maana unampongeza mtu aliye fail kwa kupata DARAJA SIFURI(DIVISION 0)...
  11. makoye2009

    Kamanda wa Polisi Kinondoni: Sina taarifa ya kukamatwa kwa Gwajima

    Hawa Wasukuma Makonda na Magufuli kwa kweli WANA AIBISHA KABILA LA WASUKUMA kwa 100% Ajabu ni kwamba wanapambana na Msukuma mwenzao GWAJIMA sijui wanamtaka nini hasa!! Mimi nawapa angalizo tu kwamba Mungu hadhihakiwi na Mungu hamfichi Mnafiki. Magufuli na Makonda ni wana siasa na Viongozi wa...
  12. makoye2009

    Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Hivi hii Serikali inaongozwa na Vichaa jamani? Gwajima walimpekua na wakakuta hana hata pombe za kawaida achilia sigara na viroba na wakampa CERTIFICATE OF CLEARANCE kwamba hana DAWA ZA KULEVYA WALA VIROBA!!!! Kumkamata Gwajima tena ni kutaka kujibu mapigo katika kumtetea Daudi Bashite wa...
  13. makoye2009

    Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Kwa hiyo kwa Daudi Albert Bashite, Ukuu wa Mkoa hauhitaji elimu!!! Any fool can be a Regional Commissioner through Presidential appointee??
  14. makoye2009

    Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Lazima atumbuliwe tu hakuna namna. Huyu jamaa anaendelea kudhihirisha ukihiyo wake. Yaani RC mzima unaleta ngonjera kwenye TUHUMA NZITO kama hii???Kama kweli yeye ni imara kwanini asingeleta hivo vyeti vya Paulo Makonda na vya Daudi Albert Bashite ili watu wajue who is who in this scandal of the...
  15. makoye2009

    Sakata la Makonda lachukua sura mpya, Mameya na Madiwani kutoshirikiana na RC

    Can you please tell us Marehemu Amani Abeid Karume alikuwa na elimu gani? Au Simba wa Vita Mfaume Rashid Kawawa alikuwa na elimu gani??? Tunasema msipotoshe lengo. Hii kesi haiwahusu watu wote wenye elimu zao ziwe 0 za 7,IV au VI !!!Maadamu wanatumia majina yao yaliyoko kwenye vyeti vyao vya...
  16. makoye2009

    Sakata la Makonda lachukua sura mpya, Mameya na Madiwani kutoshirikiana na RC

    Watu msipoteze hoja. The issue here is not Usomi au degree ngapi. Issue hapa ni Mkuu wa Mkoa anayetuhumiwa kughushi cheti na kutumia Jina la mtu(Paulo Makonda) iihali yeye akiitwa Daudi Albert Bashite!!!
  17. makoye2009

    Sakata la Makonda lachukua sura mpya, Mameya na Madiwani kutoshirikiana na RC

    Watu wa Lumumba kwa sasa mmeishiwa hoja. Sera ya Rais na Mwenyekiti wenu wa CCM Bwana Magufuli ni kuondoa Wafanyakazi HEWA WALIOINGIA KAZINI KWA VYETI VYA KUGHUSHI kama ilivyo kwa MKUU WAKO WA MKOA BWANA DAUDI BASHITE, Hoja yako haiuziki hata kwa bure maana unapomzungumzia Mbowe na Kubenea ni...
  18. makoye2009

    Sakata la Makonda lachukua sura mpya, Mameya na Madiwani kutoshirikiana na RC

    Haroo nimecheka mpaka machozi yananitoka! Kumbe Daudi Bashite wakti anasoma pale Nyegezi na baadaye Mbegani Chuo cha Uvuvi ndo alivokuwa akiandika na kujibu kwa Kiingereza cha magumashi. Nimeamini kumbe hata ile ORODHA YA MAJINA YA KINA GWAJIMA ALIKUWA ANAIANDAA YEYE. Ule mwandiko hauna tofauti...
  19. makoye2009

    Sakata la Makonda lachukua sura mpya, Mameya na Madiwani kutoshirikiana na RC

    Lizaboni, Tuondolee upuuzi wako hapa. Unachoongea ni wazi unajua kabisa hakitoki moyoni! Unataka kumdanganya nani kuwa Watu wa Dar au Watz hawana shida na degree ya mtu. Utafanyaje kazi kutatua kero za watu ilhali ULIPATA DIVISION ZERO???Daudi Bashite a.k.a Paulo Makonda hana sifa za kuongoza...
  20. makoye2009

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Mimi nauliza wana JF, Haya majina ya kutumia vyeti vya kughushi inapotokea aliyeghushi akatangulia mbele za Haki, tunakuwa tunamzika nani hasa? Aliyeghushi au aliyeuza cheti? Maana kuna hili sekeseke la huyu kiumbe Daudi Albert Bashite, ikitokea leo akaitwa mbele ya haki tutasema tunamzika nani...
Back
Top Bottom