Search results

  1. R

    Mavuno House inaungua hapa posta.....

    "Mavuno Hausi" ndiyo wapi? Mtaa?
  2. R

    Binadamu wa kwanza ni yupi? Wa Olduvai au Adam

    NAONA KISWAHILI KIGUMU... KUNA TOFAUTI KATI YA "BINADAMU" na "MTU" WASWAHILI TAFADHALI HEBU WATUJULISHE ZAIDI
  3. R

    Can You Solve This Family Puzzle?

    There are 4 daughters and 3 sons in Santa's Family
  4. R

    Ugonjwa Mpya wa Slaughtersiskwasis

    Tufanye Tamasha kubwa lingine la "ZINDUKA" na tuwachaji walalahoi zaidi ya Shilingi 10,000/= kila mmoja atakaye jumuika katika tamasha hii, ili kuwatokomeza kabisa hao walalahoi katika jamii. Tuwape hao Mafisadi hizo pesa ili wanunue silaha kabambe kutoka China za kutumaliza kabisa, ili tuwe...
  5. R

    JK Interview, Kigugumizi

    Lugha tatizo!!! Thinking in "Swahili" and speaking in "Foreign language".
  6. R

    Ulemavu na Ombaomba

    Naomba kuuliza. Je, Mlemavu lazima awe ombaomba? Kila ninaposimama kwenye mataa za kuongozea magari kwenye barabara za Dar ninakuta walemavu wana omba wakigongagonga madirisha za magari na kunyosha mikono. Je, hii hali inawezekana kubadilishwa/kubadilika? :confused:
  7. R

    Umuhimu wa kuweka mizani KILWA ROAD

    Tanzania isomeke kama Dar es Salaam.
  8. R

    Celtel yamdhamini Mwinyi kupanda Mlima Kilimanjaro

    Hiyo ya mwaka gani? Celtel nafikiri imekufa siku nyingi... je hii ni baada au kabla ya *~*?
  9. R

    Einstein's Riddle

    Kumbuka Samaki haijatajwa kwenye swali, ila vingine vyote vimetajwa. Fuata Jedwali ifuatayo: Nyumba 1 Nyumba 2 Nyumba 3 Nyumba 4 Nyumba5 Nchi Norway Denmark Mwingereza Mjerumani Sweden Rangi Manjano Baharia Nyekundu Kijani Nyeupe Kinywaji Maji Chai Maziwa Kahawa Bia Mvutaji wa Dunhill...
  10. R

    Einstein's Riddle

    MJERUMANI anafuga Samaki.
  11. R

    Matangazo ya DAWASCO hayana akili

    kunatakiwa kuwe na tangazo la watu wasiopata maji kutoka kwenye bomba zao, kuelimisha watu wafenyeje ili kupata huduma hizo.
  12. R

    Hodi...Hodi

    Salaamu, Nimependekezwa na topics zinazo chambuliwa kwenye forum hii na nina ahidi kutoa mchango wangu, inshallah. Wenu, Riqab Mikail Dar es Salaam.
Back
Top Bottom