Search results

  1. MSIMISEKI

    Kwanini UKAWA wanaonekana kuwa ni muhimu Bunge Maalum la Katiba sasa?

    Wakati bunge la mabadiliko ya katiba linaanza UKAWA walionekana siyo lolote ndani ya BMK. Mijadala ilivyoendelea kupamba moto na tofauti za misimamo kujitokeza dhahiri baadhi ya wajumbe waliamua kuondoka bungeni na kuacha mchakato wa katiba mpya mikononi mwa wajumbe walioamua kubaki bungeni...
  2. MSIMISEKI

    Mwenye taarifa kamili ajali mlima sekenke msaada wako tafadhali!

    Wadau kuna taarifa zimejitokeza mchana huu, BUS kampuni ya Ally's iliyotoka Dodoma asubuhi leo tar 4.1.2014 ikielekea Mwanza imepata ajali mbaya Mlima sekenke. Kwenye gari hiyo alikuwemo ndg yangu bahati mbaya simu yake haipatikani! Kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa zozote juu ya mazingira...
Back
Top Bottom