Kaka tumia tigo ndio mpango mzima wenyewe wanakupa 3GB unlimited kwa mwezi mzima maana yake ni kwamba utakua unazitumia tu kwenye downloading & streaming. Browsing ya kawaida yaani emails, blogs na social network zote utakua unaangalia free kwa mwezi mzima. 3GB zako hizo zikiisha kabla ya mwezi...
habari wanaJF
Jamani huyu LE MUTUZ ni nani wengine wageni humu naomba msaada wenu nimjue mana nimemsearch fb profile yake iko private! msaaadaa jamanii!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.