Search results

  1. C

    TRC mjitangaze kwa nguvu zote, wakati huu ndo wakati wa kutengeneza jina

    Hakuna Shirika la wagonjwa was akili kama like. Namba yao iliyokwenye website Yao ya TTCL ya uongo. Sasa sikiliza vituko vyao. Nilitaka kukata tiketi 7 na familia yangu ili niondoke 22/12 Moshi kwa ajili ya Christmas na matukio ya kumaliza misiba ya kifamilia ilipofika tarehe 14 nikaingia...
  2. C

    Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

    I salute you avune alichopanda.Nape alivuna alichopanda wakati wa mwendazake.It is the right time for him and his associate Bashiru makonda etc
  3. C

    Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    kuna Ile while inapotea St Joseph kule Goba imejengwa na wakristu KWA kuchangia lakini ulizia karo yake wee utakimbia.Shule imekuwa kea ajili ya watoto wa vigogo tu hadi aibu.Kanisa limegeuza huduma za elimu na afya biashara
  4. C

    DC Sabaya kuvaa nguo za kipolisi alimaanisha nini? Imekaaje kikanuni?

    mbona watu wakivaa nguo zinazofanana na za jeshi wanakamatwa
  5. C

    Tuondoe aibu hii anayosababisha Spika Ndugai

    Na akiondoka mwenyewe walewale jamaa zake CCM wanaanza kumnanga
  6. C

    Mashehe wa Uamsho, nani alaumiwe kati ya Serikali ya Rais Kikwete, Magufuli na Samia?

    Huo unaoita utaratibu mbaya Huo ndio uonevu wenyewe
  7. C

    Mizengo Pinda: Natamani Katiba ya Tanzania ibadilishwe, ili Rais Magufuli aongezewe muda zaidi

    Sikujua kama huyu mzee ANAWEZA ongea kama mgonjwa duuh hatari
  8. C

    Hivi Lissu akiendesha harambee kanisani kanisa mtamkubalia? Lakini IGP Jana alisema wanasiasa wasitumie mimbari ya Mungu kisiasa

    Mi mkatoliki kanisa hil ilimeanza kuwa la hovyo.Dini no matendo yangu mengine upuuzi mtupu.
  9. C

    Washabiki jiulizeni, ni kwanini wanataka 100%?

    Simple logic Paskali Kama refa na kamisaa tayari wamevaa Jezi za Simba na refa anasema kuche kusiche lazima Yanga ifungwe kuwa nini Yanga wasiweke mpira kwapani. Acha ukapuku
  10. C

    Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

    R Alishafundishwa adabu na Bashite guys mchumuia tumbo
  11. C

    Freeman Aikaeli Mbowe: Yawezekana? Kwangu mimi mengine naona ni siasa tu

    Nakubaliana na wewe wanaohama waache unafiki
  12. C

    David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

    Labda mizigo ya Zambia inayopitishwa hapa ni kama kwenda kununua vitu Kariakoo
  13. C

    Spika Ndugai: Wanaotaka nimfukuze Cecil Mwambe Bungeni, wamwambie aniandikie barua ya kujiuzulu

    DUI kazi ipo hilo bonge sasa afadhali hats klabu ya walevi
Back
Top Bottom