Search results

  1. M

    Asalaam aley kum

    Poa,nina mada nyingi za kuchangia.ukiujua mlango wa kuingia ni busara ukaujua na wa kutokea usije tokea dirishani.
  2. M

    Asalaam aley kum

    Mimi ni muungwana,mkweli na muwazi na hili ndo jina langu.ukiona mtu anaficha jina kuna ajenda ya siri
  3. M

    Asalaam aley kum

    Nimejiunga rasmi hapa kijiweni(jf)leo hii,inasemekana hapa is a place where any one can dare to speak open;OK ,naomba kuwa uliza enyi wakongwe wa kijiwe-kwanini hapa kijiweni 99.9% yenu mmejicamouflage kwa majina feki(ya bandia)inamaana hapa wote wasanii. pili sijaona option ya...
Back
Top Bottom