Search results

  1. J

    TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    Ndugu zangu watanzania, nchi hii ipo kwenye uozo wa kupita kiasi, kwanza najiuliza palikuwa na umuhimu gani kuwa na takukuru? tuna jeshi la polisi na katika jeshi hilo kuna kitengo cha CID na tuna maafisa usalama wa taifa, kama hawa wote wlishindwa kupambana na rushwa ina maana tatizo sio kuwa...
  2. J

    Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja!

    Jamani tusifurahie sana kwa Rais kusema mitambo ya IPTL iwashwe tuangalie madhara yake, kwanza malipo yatakayofanyika kwa mwezi ni shilling 23billioni na Mkulo kasema pesa ipo. Sasa hapa la kujiuliza ni je? kama pesa ipo ya kulipa IPTL kwa nini serikali inashindwa kununua mitambo kama hiyo? au...
  3. J

    Mhe. Rais: Vunja Baraza na Bunge!

    Kwa suala kama hili kwa sisi wasomi hatuhitaji katiba kwani suala hapa msio kuvunja bunge au kuvunja baraza la mawaziri, suala ni kuwatoa mawaziri wenye uwezo dhaifu wa kitendaji, hapa hapahitajiki kuvunja baraza. ila kama tunaamini kuwa wabunge wote ni hovyo na mawaziri wote ni hovyo hapo...
  4. J

    Mhe. Rais: Vunja Baraza na Bunge!

    watanzania inatakiwa tufike sehemu tujue kuwa kuna mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wa rais kuyarekebisha na sio lazima avunje baraza zima la mawaziri. Ila usipotenganisha urafiki na utendaji kazi inakuwa ni vigumu sana kugundua kuwa rafiki yako anakuangusha na hawezi kazi. Nadhani hilo ndilo...
  5. J

    Mhe. Rais: Vunja Baraza na Bunge!

    Jamani suala sio rais kuvunja baraza la mawaziri wala bunge, ushauri huo mnaompa rais ni wa woga. Kwa mamlaka aliyonayo Rais na madaraka makubwa aliyopewa na katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania au tuliompa wananchi, anao uwezo wa kuwaondoa madarakani mawaziri wote ambao yeye anadhani...
  6. J

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Zitto ameongea ukweli katika mambo mengi kuhusu suala la umeme na mgawo wake, ila kuna kitu kimoja ni vyema tukiweke sawa katika maelezo yake. Tusiwahusishe wabunge kupinga kununuliwa kwa mitambo ya kifisadi kama (justification) uhalali wa mgawao wa umeme, hilo ni kosa kubwa. Kma zitto aliunga...
  7. J

    Katoka sultani mwarabu waingia usultani wa mtu mweusi zanzibar

    watanzania inabidi sasa tujifunze kupambanua mambo tusifanye au kujenga hoja kwenye mtandao bila ushahidi au kufanya research kuhusu hilo jambo. wazanzibar mnao lalamika kuhusu karume balozi je mlifanya research mkagundua kuwa hafai kiuongozi? au tu ni kwa kuwa yeye amezaliwa na mzee karuma, na...
  8. J

    Katoka sultani mwarabu waingia usultani wa mtu mweusi zanzibar

    pia la msingi la kuangalia hapa ni je huyo karume balozi ana elimu gani? anao uwezo wa kuongoza? je keshaifanyia nini Zanzibar katika maisha yake? je ni mtu mpenda maendeleo ya wana zanzibar au ni mtu anayetafuta u rais ili tu awe kwenye kumbukumbu za historia kuwa alishawahi kuwa rais wa...
  9. J

    Katoka sultani mwarabu waingia usultani wa mtu mweusi zanzibar

    usishangae sana kuhusu usultan ndugu yangu kwani hata mkikwepa la Karume basi ujue la Mwishi ambaye ni waziri wa ulinzi hamuwezi kulikwepa, akishindwa kupata Karume Balozi basi jiandaeni na Mwinyi waziri mtoto wa Mzee Ali Hassani Mwinyi hii ndio Tanzania ya watu wachache kuhodhi madaraka kwa...
  10. J

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    Masha - yeye pia ni fisadi sio tu anatetea mafisadi
  11. J

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    hawa wafuatao pia hawafai kuwepo bungeni next week Dr. Mzeru - Morogoro William Ngelleja - Sengerema huyu naye pia anatetea mafisadi wa Richmond
  12. J

    Membe kuwania urais 2015...

    jamani tuacheni kupotosha Uma, Nilimsikiliza sana Membe na kusoma magazeti ya mwananchi na mengine hakuna hata kipengere kimoja ambacho Membe alikiri kuwa ana nia ya kugombea urais licha tu ya kukiri kuwa anaamini Mudhihir anatumiwa na wabaya wake kisiasa kumchafua kwani Mudhihir anayemfahamu...
  13. J

    Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

    Huyu Mudhuhiri naamini anatumiwa sana na mafisadi kwa kuwa elimu yake ni ndogo sana ila ni fundi wa lugha ya taarabu na mafumbo, kwa wenye akili watamkumbuka alivyotumika na mafisadi (Karamagi and group) katika kujenga hoja tena kabla hata ya wakati ya kumuangamiza Zitto bungeni kwa sakata la...
  14. J

    Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

    Kwa kweli mudhuhir kisiasa ameisha tena sana tu, enzi zake zimepita na haziwezi kurudi tena na huu ugonjwa wa kupoteza jimbo sasa umemwingia anataka kutafuta mchawi, namshauri arudi akafundishe kwaya shule za msingi, elimu yake ndogo haiwezi kutusaidia kujenga Tanzania Imara na ya matarajio kwa...
  15. J

    Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

    sual la Mudhihir si suala dogo kwa mtu anayemfahamu kwani kwa miaka mingi amekuwa ni mtu apendaye ugomvi na mwenye mambo ya kiswahili sana. Msikilize Lugha anayotumia, Mudhihir alitakiwa awe mwalimu wa kufundisha watu kutunga misitari ya nyimbo za mipasho na wala si mbunge. kuna mtu anajua...
  16. J

    JOKE: Rostam aaanguka; akimbizwa AGHAKHAN HOSPITAL

    Is TBC1 a televission for corrupt people? I see it that way even the government run daily news is of the same cariba, why are they defending Rostam Aziz? why when we have patriotic people like Dr. Slaa or Zitto kambwe addressing the public with crutio matters that are of national interest TVT...
  17. J

    JOKE: Rostam aaanguka; akimbizwa AGHAKHAN HOSPITAL

    RA can probabily be OUR president cz he has all Goverment officials in his pocket, you can imagine the way stupid Sofia Simba supported him, where did JK got the stupid kind of Sofia Simba as Ministers? Did RA forced him? we hear all the laddies RC' s are under performing thats why they have...
  18. J

    JOKE: Rostam aaanguka; akimbizwa AGHAKHAN HOSPITAL

    rostam better afe mwizi mkubwa wametuibia sana
  19. J

    JOKE: Rostam aaanguka; akimbizwa AGHAKHAN HOSPITAL

    Rostam stupid as he is, failed to respond to Mengi's acusation, instead he tried to show the public how bad and corrupt mengi he is. However, the issue is Rostam Aziz the most corrupt person he used EPA to aguire his wealth in dubious and corrupt ways. He forged document and established...
  20. J

    JOKE: Rostam aaanguka; akimbizwa AGHAKHAN HOSPITAL

    I think we should look at Rostam as a confused person, he failed to distinguish between forgery and failing to repay a debt which one legaly aquired from the bank. I fail to understand if RA is academicaly competent, if he has been rushed to the hospital let him die as soon as possible coz he is...
Back
Top Bottom