kabla ya kuchangia ni vizuri kwanza ukawa na uhakika na unalolifanya
clinical officer ni dipl in clinical medicine:
AMO ni Higher dipl in clinical medicine:
vigezo vya kusoma CO/AMO Ni form4 na form6 lakini kutokana na ushindani wanafunzi wanaochukuliwa wengi ni form6 na AMO nilazima awe...
Napenda kuwashirikisha ndugu zangu katika hili tuache siasa na tusimamie ukweli.
Ninao ushahidi wa kutosha juu ya hili mwanafunzi wa dipl ya nersing hajui hajui hata kutoa first aid kwa mgojwa hata dose ya dawa hajui sio mmoja hii ni mefanya kwa watu 5 tofauti.DR (AMO) hawa nao noma c.o awajui...
Hivi kilakitu nitume? Watu wanakufa kwa kukosa dawa hosp.Mbowe anatakatume kama anaushaidi kwanini wasiweke wazi hata kwenye tovuti yao hili watu tuone na kuchukua hatua sisi wananchi ndiyo wenye mahamuzi ya mwisho 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.