Search results

  1. butron

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Hence, thread closed!!
  2. butron

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Future ya watoto inatengenezwa na Wazazi,huoni akina Husein Mwinyi na Ridhiwan.Wewe ishi na mentality za kale!
  3. butron

    Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

    Wewe mpumbavu Kwani kwenu huwa watu hawafi;acheni argument za kipumbavu,huyo unaye mwita mshamba amekuwa Rais wa nchi wewe mjanja kwenu nani amewahi kuwa Rais!!
  4. butron

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Hii taarifa siyo ya Masese,imeandikwa kwenye gazeti la jana la Jamvi la Habari!
  5. butron

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Hiyo taarifa Masese kaitoa kwenye gazeti la jana la Jamvi la Habari,siyo taarifa yake!
  6. butron

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Magufuli alikuwa anafukuza wawekezaji ila sasa Mama kawarudisha,nchi imetulia!!! Wafanyabiashara wenyewe sasa🤣🤣🤣🤣. Huu uhuni nenda ufanye Marekani kwenye taifa la kidemokrasia-kidikteta,uone utakavyonyolewa kipara na chupa badala ya wembe! (Kuna mahusiano makubwa sana kati umasikini na utawala...
  7. butron

    IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

    Sisi kwa rasilimali tulizonazo tulipaswa kuwa tunavutana na akina South Africa, Egypt na Nigeria.Tukidhibiti ufisadi,hakuna nchi ya kutukamata kusini mwa Afrika!
  8. butron

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Kuna yule Mwamba alikuwa anasimamia ujenzi wa Barabara kule kusini na degree yake ya Philosophy na yule Mwamba alikuwa na Makamu wa Rais kule Mwanga anasimamia ujenzi wa hospitali akiwa ni Engineer wa Kilimo. Inahitaji akili ya mwenda wazimu kuwatetea watumishi wa umma wa nchi hii!
  9. butron

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    We expected a Manager to give a broader view of the roads he is responsible with as a Regional manager;in terms of how many kilometers his office currently is maintaining and how far have they gone, explain to the common Wananchi to understand what are gazetted roads and how do they look like...
  10. butron

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Na alishawahi kuwatukana watumishi akipokea ripoti ya CAG kwa kuwambia,'STUPID'!
  11. butron

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Kwa mtazamo wa Pascal itafika mahala ata Wabunge wakiwahiji Mawaziri wataambiwa wanafanya Bullying and intimidation. Yaani Boss wangu ananiuliza kuhusu utekelezaji wa majukumu yangu nashindwa kueleza,then anyamaze tu,kweli!
  12. butron

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Essential skills a Manager must have; 1.Communication skills 2.Leadership skills 3.Problem solving skills 4.Decisions making skills 5.Time and organization management skills ......... Kwa kifupi yule Meneja wa TARURA Arusha hana uwezo,apangiwe kazi nyingine!
  13. butron

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Usikute Mwamba na yeye kasomea Philosophy kama yule jamaa Bushungwa alimkuta anasimamia ujenzi wa Barabara kule kusini!
  14. butron

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    K Hiyo Professionalism ndiyo Meneja alitakiwa aioneshe plae kwenye kipaza sauti otherwise hamna Meneja mule!!
  15. butron

    Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi

    Kwaiyo wale Wakurugenzi wanaopelekwa mahakamani ni wale ambao hawajatoa sadaka ya shukurani kwenye madhabahu ya Toba za kifisadi!!
  16. butron

    Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi

    Madhabahu ya Toba za kifisadi chini ya Kiongozi Mkuu wa kiroho za ufisadi JK na Katibu Pinda!
  17. butron

    Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

    Kwani anaye tumia pacemaker hawezi kuuwawa? Maalim Seif naye alikuwa anatumia pacemaker? Vipi kuhusu vifo vya ghafla vya watu wa karibu na Magufuli; Engineer Mfugale na John Kijazi! Ngoma bado mbichi,CDF Mabeyo kaonesha wazi kuwa kwenye vyombo vya usalama jambo la Rais kufa kienyeji halijakaa sawa!!
Back
Top Bottom