Search results

  1. S

    Speaker Sitta alikoromea gazeti la RAI

    Ah yetu macho!
  2. S

    Top CCM leader secretly funding opposition party

    Ah! huu ni ugomvi wa Bw. Mengi tu usioisha. Nani asiyefadhiliwa katika dunia ya leo. Tuwe makini jamani. Tusijeingia kwenye vita vya panzi!
  3. S

    For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

    huku sasa sijui tunakwenda wapi! kama ni kuumbuana sasa ndio tumefikia patamu kweli kweli! He he he he eeeeeeeeeeeee
  4. S

    Kyela: Dr. Mwakyembe amtolea Uvivu Rostam

    kila siku mnamshambulia mwakyembwe! mi naona hakuna msafi kati yetu kila mmoja anajua kwenye nafsi yake nini anafanya. acheni haya tufanye kazi jamani
  5. S

    Kyela: Dr. Mwakyembe amtolea Uvivu Rostam

    he sasa tunakwenda wapi naona malumbana haya mwisho mwisho wake nini hasa?
  6. S

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    No comments! nadhani mmeelewa kwamba sarah ni msafi. Hiyo ni ajenda nilipenda ieleweke.
  7. S

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    lakini sarah mossi ni msafi na wala hana historia ya kutumwa si unajua wazanzibar walivyo na misimamo. kuajiriwa katika kampuni ya rostam si sababu ya yeye kutumwa. tunajua rostam ana watu wake kwenye kampuni anaowatuma. Mwacheni sarah mossi afanye kazi yake ya kitaalum. kuwapo kwake kwenye...
Back
Top Bottom