Search results

  1. C

    UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

    UTAsambaratika ww.act ccm. ila sio ukawa.
  2. C

    Kifo cha CCM kimetimia

    Acha kulalamika. Wewe ndie mwajili mkuu wa ccm.sasa saa imefika muondoe hafai.tumia kura yako.
  3. C

    Nimekitupilia mbali rasmi King'amuzi cha Startimes

    WANAOWASUKUMA kisiasa ni wale magamba hayataki uwazi.nanyi startime mnajihalibia kibiashara mbona mnapenda kutumika?.
  4. C

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limezuia msafara wa Halima Mdee

    POLICE ccm.mtahangaika sana lakini mabadiliko lazima.na mtatumiwa sana.hamwaoni majambazi akili zenu zote ni kwa CDM TU.
  5. C

    Tarime waamka

    safi sana chadema kwa kuelimisha wananchi.
  6. C

    Mbowe ishukuru CCM kwa kukupigia kampeni ya nguvu

    Chadema chama chenye viongozi wenye mtazamo yakinifu.ambao ndio mkombozi wa watanganyika.ukiwemo na wewe unabisha tu.
  7. C

    Maajabu ya popo

    SIMTAKI kabisa huyu ndege mnyama kwanza anasababisha ebola
  8. C

    CCM KATU HAWATOWEZA KUULAZIMISHA umma ufuate wanachotaka wao never ever !!

    HAYA YOTE NI UROHO WA MADARAKA hakuna jambo lisilo na mwisho.
  9. C

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    MFA maji huyo yeye ni msaliti tu.
  10. C

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 12 Juni, 2014 - Bajeti Kuu ya Serikali

    maendeleo kwa mafisadi maskini kunyojwa kudhurumiwa na kunyanyaswa.watupandishie kod matajiri wasahewe.
  11. C

    Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

    POLEN SANA wamachinga
  12. C

    Vurugu mitaani Mwanza kati ya wamachinga na polisi

    polen sana wamachinga huo ndio utawala wa selikari.yatz
  13. C

    Jihadhari na tapeli huyu anayejiita Beka Mfaume

    kuwa makini kwa kila kitu mjini hapa.we unatuma tu kirahisi.lakini umejifunza kutokana na kosa.
  14. C

    Kiongozi wa UKAWA na Katibu Mkuu NCCR akamatwa na Polisi!

    selikali iliyopo ni kibogoyo bola ing'oke.ukawa imarisheni muungano wenu.msiwe kama wale ccm wao ni kuhujum tu.
  15. C

    Uchu wa madaraka tu utaweza kuiua UKAWA... vinginevyyo CCM haina lake 2015

    WANAUKAWA kama wanania ya dhati wataungana kwa ajili ya kuikomboa nchi lakini kama watakua na ulafi wa madaraka kama ...
  16. C

    OYSTER: Samaki anayeongeza nguvu za kiume ndani ya dakika 10

    kama ukitaka nguvu za kiume ww mara kwa mara kura vyakura vya asili tu wagaga wenyewe wanachanganya na viagra.ishi kama babu zako wa zaman.lakini ww asubui mkate.na chai mchana piza jioni wali.nyama ya kopo maziwa ya kopo.nguvu za kiume ni tabia yako
  17. C

    Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

    CCM TENA NASEMA CCM wote wanahaha lakini kifo cha njan miti yote huteleza.hawana sela tena ongeleen kuhusu nnchi sio dr slaa.maana yy slaa anaongelea kuhusu maendeleo ya nch sio ccm.mnaposikia chadema presha inapanda tulieni.kama maji ya kwenye mtung
  18. C

    Dodoma yetu Mpwapwa yetu mbona haiendelei

    kujalibu kufanja mabadiliko ndio jambo la msingi ili kuleta ushindani kwa maendeleo ya mpwapwa.maana hawa wabunge hakuna wanachofanya.kiujumla miundombinu ni mibovu.hivyo hawa ccm wameshidwa kuwajibika kwa waliowapa dhamana.chukua hatua.
  19. C

    IKULU: Waliojitangaza kupigwa na JWTZ - Mtwara ni vibaka

    mm naona wananchi wa mtwara sio vibaka wanadai haki yao ya kuendeleza nch yetu.ila hao waliowatuma jwtz ndio vibaka. wasioitakia nch hii yenye neema.
  20. C

    CV ya Mbunge wa Arusha Godbless Jonathan Lema imejaa uongo mwingi

    ww sivi yako iko wap?mbona hujatoa?huyu lema nim2 mchapakazi tofauti na wanaojivua magamba kama papasi.elimu ni upeo hekima busara uadilifu heshima uuaminifu na kuwajibika.unajua maana ya mtu mzima ovyo? tafakari chukua hatua hahaaaaaa teteeeeee.....
Back
Top Bottom