MPANGO WA KULETA MATOKEO MAKUBWA SASA KWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (Mbunge), anawaalika wadau wote wa Sekta ya Nishati na Madini kote nchini kwenye kongamano la wazi litakalofanyika siku ya...
HOTUBA YA KIHISTORIA YA NISHATI NA MADINI 2013/14 HII HAPA. DOWNLOAD UISOME ZAIDI
http://ubuntuone.com/2EP8D9gb2isx4EJmM3DGDP
HOTUBA YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. PROF. SOSPETER MWIJARUBI MUHONGO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2013/14
A...
kila kitu ni hatua kwa hatua, sasa ndio tumeanza, tumeanza na suala la gesi na faida zake, lakini pia tutaendelea na suala la hiyo mikataba mnayoiulizia.
ni ya wizara ya nishati na madini. na shirika la maendeleo ya petrol nchini ni sehemu ya wizara ya nishati na madini. ni kama vile wewe ambaye ni mtumishi wa wizara ya afya lakini unawajibu wa kuwahudumia hata baadhi ya idara zake inapohitajika.
isome between lines utaielewa vema. Faida za wana Mtwara kwenye rasilimali hizi ni lazima zizingatie pia matarajio ya watanzania wengi kutoka sehemu mbali mbali za nchi.
WIZARA YA NISHATI NA MADINI
SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI TANZANIA
TAARIFA KWA WATANZANIA
NAMNA MIKOA YA MTWARA NA LINDI INAVYONUFAIKA NA UTAFUTAJI NA UENDELEZAJI WA GESI ASILIA
1.0 UTANGULIZI Gesi asilia iligunduliwa kwa mara ya kwanza hapa nchini Mwaka 1974 kwenye Kisiwa...
Habari zenu.
kwa umuhimu wa kupashana habari Miongoni mwa watanzania.
Wizara imeona ni vema ikaweka hapa link ambayo itawawezesha kuipata moja kwa moja Rasimu ya sera ya gesi asilia kama ilivyoandaliwa na wadau mbali mbali.http://ubuntuone.com/4DyMATV40FPGLswipEpYYZ
karibuni muipitie na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.