Search results

  1. amani kaseko

    Nauza Dish la Zuku

    ...Nauza Dish la Zuku na Decoder yake imetumika kwa muda wa miezi mitatu tu... Bei ni elfu hamsini (50,000).. Nipo Dar es salaam... Unaweza kunicheck kwa number 0713 590607.. shukrani
  2. amani kaseko

    Kiwanja kinauzwa kigamboni Kibada

    ....Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada Square metres 1000 Fully documented yaani kina hati kamili... Ni kizuri sana. Bei million 25. Ni pm kwa maelezo zaidi
  3. amani kaseko

    Maduka gani yanauza perfumes Original (DAR)

    ..Wanabodi poleni na majukumu.. Msaada kwenye tuta... Hivi ni maduka gani yanauza perfumes Original kwa hapa DAR?...sehemu nilizopita pita naona mchina katawala...Nashukuru
  4. amani kaseko

    Makochi (sofa) yanauzwa

    ...Nauza makochi(sofa) kitambaa na rangi: Leather nyeusi.. Ni set nzima yaani makochi madogo mawili, kochi la watu wawili na kochi kubwa la watu watatu..Yapo kwenye conditions nzuri sana.. bei ni laki sita (600,000)..kwa anayehitaji anaweza kunipm nikamtumia Picha via whatsup....Namba yangu ni...
  5. amani kaseko

    Passo for sale

    For sale: Passo Color pink, T736 DAL Cc 990, 5passenger seat, Year 2005, Insurance: Comprehensive, Price: 7•5 million Number: 0713 590607 Picha zinagoma kuwa attached hapa.. Kwa serious buyer unaweza kunicheck kwenye number yangu nikakutumia via whatsup
  6. amani kaseko

    Passo for sale

    For sale: Passo Color pink, T736 DAL Cc 990, 5passenger seat, Year 2005, Insurance:comprehensive, Km 144865 Last price 7.5 mill Phone: 0713 590607 serious buyer nipm number nikutumie kwa whatsup
Back
Top Bottom