Search results

  1. AndrewThegent

    Msaada wa kujua taratibu kupata vyeti vilivyopotea

    Wanajukwaa leo nimekuja na shida. Nilipotelewa na vyeti vyote vya elimu, hati ya kusafiria na cheti cha kuzaliwa. Vilipotea mwaka jana nilifanikiwa kutaarifu polisi. Nikapata kiapo cha mahakama pia loss report. Lakini pia nina original scanned soft copies. Sasa swala langu kuu ni kwamba nnataka...
  2. AndrewThegent

    Natafuta kazi.

    Mimi ni mhitimu wa chuo nina degree ya uhasibu kijana wa miaka 27. Nimehitimu pia mafunzo ya kijeshi na kulitumikia jeshi kwa miaka mitatu na sikubahatika kupata ajira. Natafuta kazi ya aina yoyote bila kuzingatia taaluma. Ntaanzia chini kuelekea juu. Ninaweza kufanya kazi mazingira yoyote. Kama...
Back
Top Bottom