Wanajukwaa leo nimekuja na shida. Nilipotelewa na vyeti vyote vya elimu, hati ya kusafiria na cheti cha kuzaliwa. Vilipotea mwaka jana nilifanikiwa kutaarifu polisi.
Nikapata kiapo cha mahakama pia loss report. Lakini pia nina original scanned soft copies. Sasa swala langu kuu ni kwamba nnataka...
Hapana ni mtazamo tu. Nisingependa kufanya kazi yoyote inayohusiana na maswala ya ulinzi na usalama. Nishajitolea sana huko nilipotoka na nimefanya hizi kazi bila mafanikio ya kuajiriwa nadhani i will pass with this one pia.
Mimi ni mhitimu wa chuo nina degree ya uhasibu kijana wa miaka 27. Nimehitimu pia mafunzo ya kijeshi na kulitumikia jeshi kwa miaka mitatu na sikubahatika kupata ajira. Natafuta kazi ya aina yoyote bila kuzingatia taaluma. Ntaanzia chini kuelekea juu. Ninaweza kufanya kazi mazingira yoyote. Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.