Search results

  1. simbamzeewamwakidila

    Airtel mna matatizo gani?

    Airtel mnakera Huwa najiuliza ina maana hampati malalamiko ya wateja? Huduma zenu ni mbovu kupindukia iwe ni usikivu au internet kote ni matatizo
  2. simbamzeewamwakidila

    Ubovu wa kivuko cha Kisorya - Ukerewe

    Kwa muda mrefu sasa hivi kivuko cha Kisorya Ukerewe kimekuwa na matatizo ya injini ni nadra sana ikapita wiki bila kuharibika na kufanyiwa matengenezo na hali hii imekuwa ikijitokeza karibu kila wiki nafikiri kinachosubiriwa hapa ni maafa makubwa Kwa sababu inaelekea kama vile hakuna anayeona...
Back
Top Bottom