Yaani hata huyo jamaa wa Tarura ambaye nafikiri ndio anapasha kuwa msimamizi wa kazi analalamika ,sasa sijui aliruhusuje mkandarasi kufanya surfacing wakati weather' was not conducive na pia bleeding!!..... hivyo hata yeye na mkandarasi, wote kwa pamoja hawawezi kukwepa lawama za hasara...
Ndugu yangu, kwa Tz kushabikia vitu ambavyo, mwisho wa siku, visivyo leta faida halisi ya kiuchumi kwa taifa( something which doesn't bring food on the country's table), ndo mambo ya kawaida na unakuta eti vinapewa vipaumbele, kwa ushabiki mwanana kama ule wa SimbaVs Yanga........ aiseee safari...
Nafikiri hiki cheo wala hakina tija yoyote Kwa nchi husika Bali ni vyeo vya kudanganyana, kuvishwa vilemba vya ukoka, na zaidi faida binafsi kwa aliyechaguliwa... nothing much for the country...
Kweli ndugu yangu, aiseee watu wanateseka na wanachotaka ni maji, na sio sijui ' Hafla' ya kutia Saini Kwa mbembwe nk..na unakuta kwenye hiyo bado wanatumia pesa nyingi'!!...Jamani watu wanataka action' zaidi sio mbwembwe walizozoea miaka nenda rudi.....
Prof...basi anatuambia kuwa yeye inawezekana atakuwa na uraia pacha' wa Dodoma, Kilosa,Singida na na Sasa Oman.....Tz aiseee ni raha na viroja huwa haviishi., ........
Jamani Mh Rais ' safari hii 'anawaomba' mkae pembeni'.. mliovurunda tofauti na wale wa ubadhirifu wa bei ya ndege, walioombwa' wajiuzulu'..ingawa hadi leo, nafikiri bado hatujaona yeyote aliyejiuzulu.....
Ndugu yangu,aisee ni kazi kwelikweli, manake hata wafadhili wengi wanaotupa misaada siku zote zitokanazo na kodi za wananchi wao, wameanza kuchoka kutokana na kuona nchi wanaopewa misaada kudai ni nchi maskini, kuishia kuwa na unnecessary, and luxurious government expenditures, kama...
Isiwe hivyo bwana, Wacha waende kujifunza ukulima wa mbogamboga na maua huko jangwani, manake huko Tz pamoja na kuwa na mazingira rafiki, mmeshindwa....
Kweli ndugu yangu, wanasiasa wanapoenda kukagua miradi , inabidi wajue kuwa miradi mingi Huwa inandeshwa according to Conditions of Contract, ambayo huwa inaweka wazi, majukumu ya kila muhusika, na njia sahihi za kuchukuliwa iwapo contractor au Engineer au Client kashindwa kutimiza wajibu wake...
Ndugu yangu, ndo mentality za wengi Tz...mtu kateuliwa awatumike wananchi, lakini utasikia jamaa kaula' aiseee na ndio maana kila anayepata fursa hafanyi makosa...... kaazi kwelikweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.