mbona lipumba anajilaumu kwa kumpa 'kikwete' na anadai hajafanya chochote kwa waislamu,halafu wewe unasema 'waislamu wamekumbukwa' katika awamu hii ya nne? Hueleweki
swagger ni neno lililotoholewa kutoka kwenye kifupisho 'SWAG'..Kotoka huko amerika kama identity ya kundi la mashoga. Waliandika kwenye nguo,kofia n.k. Kirefu chake ni 'secretely we are gays',swag! Ni hatari kubwa kwa kijana kujisifia aki2mia hlo neno! Tena hasa hasa akiwa kiongozi! Kama si...
ukisikia punguani basi ndio wewe! Watu wameichoka ccm, we unasema eti chadema wametumwa! Ha ha ha na mtahangaika sana mwaka huu! Gesi kwanza vyama baadae
ndugu yangu ,iringa umefika mara ya mwisho lini? Acha kupotosha watu..mji wa iringa ni mdogo, biashara inafanyika pale katikati ya mji tu. Na ndipo mizunguko ya watu huishia. Unapopeleka machinga mlandege, wakamuuzie nani? Ukumbuke wanaolalamika si msigwa! Ni wamachinga! Malalamiko yamemfikia...
Ikumbukwe wakati kiwia ,na machemli wanakatwa mapanga huyo mama alikua eneo la tukio huku wakata mapanga wakiwa ni watu 'wachama' chake (compare na uwepo wa kamuhanda wakati wa mauaji ya mwangosi)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.